Diamond, The one!!

Nasikia kenya kakatazwa nyimbo zake kuimba hivi ni kweli
 
Domo hana tofauti na huyu jamaa
Tatizo unakurupuka u know nothing acha mond aendelee kuwapiga tu, Nyimbo aliyoshirikishwa na King tee audio iko produced na Wasafi records chini ya laizer.

Ya sasa iko_produced na huyohuyo ila imeongezewa uzito ndani kuna saxophone
 
Ushabiki usikufanye uwe pofu...
 
YouTube ndyo wapi?
 
Mzee hata mahakama kuna wakati hupelekewa kesi za kutafsiri katiba maana uliyoielewa si lazima wote tuelewe hivyo
 
sasa
Wimbo kamuibia star wa namibia aibu tupu, diamond kaishiwa
WCB wanafanya mambo ki professional zaidi hadi walipo fikia saivi sio padogo, ile ni kampuni na lazma inamikataba ya wasanii wanaokuja hapo studio kwao na huyo mnamibia itakuwa kashindwa makubalino ya hilo biti ndio maana mondi kalichukua

BIASHARA NA DAFTARI BRAZA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…