Diamond, The one!!

Diamond, The one!!

Amna kitu ! Ubunifu ziro, staili ile ile habadiliki ! Hivi hii nyimbo ndo ikashindanishwe na kina davido au Wizkid kwenye Bet na tuzo nyingine za kimataifa ? Big No
 
Domo MWIZI,kipaji kwishney

#blackroseeffect#
 
Wazeee au watu kama nyie ndio munaowapoteza wasanii na maushauri yenu yakizwazwa | utasikia msanii aimbe maisha nyimbo ielimishe msanii asikuwa na upeo nae anafatisha mwisho anaimbia ndugu zake.

Ifikie wakati tuongee mantiki zinazoonekana practical sio unafikili kwa vidole na ku-type, Angalia Darasa kuna mtu aliimba ayo mafunzo na maisha kama yeye akipata nini kaja kuimba β€œSafari na mziki" β€œToo much" nk watu ndio wamemuelewa, 20 pacent kaimba maisha weeh ayupo, Bestnaso kaimba maisha maishaaa ayupo, kwahiyo ifike mahari tuongee vitu practicable sio kuleta ukoloni ukoloni kwenye sanaa.
Nilipoona tu anaandika neno "ayupo" badala ya "hayupo" nikajua mnajadiliana watu wa ngazi tofauti za kufikiri.
 
Nilipoona tu anaandika neno "ayupo" badala ya "hayupo" nikajua mnajadiliana watu wa ngazi tofauti za kufikiri.
We kolo nini kufikiri na uandishi vinahusiana vipi, ndio maana munakufa maskini nyie wazee kushikilia mambo yasonamsingi kolo wewe.
 
Acha chuki hiyo video ina viwango vya kimataifa, imetimia kila idara.
Aisee sijasema video mbaya mbona unakurupuka !!

Nimesema editor wa zoom productions mtindo wake wa kuedit ni ule ule kwenye video zote
 
Iyo Editing ndio iliyoitajika, angalia nyimbo za SIMI ndio utaelewa.
Video zoote za zoom transition ni zile zile, color grading ile ile , alafu wana j cuts nyingi kitu kinachofanya video ionake amateurish
 
Me nimesikiliza nyimbo yote tena mara mbili na sijaskikia tusi wala sijaona phonographic video kama comment za humu kwenye uzi huu,

Watu wamefikia kujifanya wao ndio wanajua tafsiri zaid mfano "alichokupa mama" wao manaona ni papuchi tu hawajui hata tabia ni output ya huyo huyo mama kwenye malezi

Jamani huku JF tuache kufuata mkumbo tu, unavyo tumia nguvu kushusha kazi ambayo mwenzio ametolea jasho tena mbongo mwenzio basi huna tofauti na mchawi anaeloga,

Yani watu wameshindwa note hata jamaa anavyotumia nguvu kutangaza sehemu mbalimbali za nchi ambazo hata wengi wetu hatuzijui japo tupo hapahapa miaka yote

Shida yenu tubaki wote chini tuendelee kucheza bao...dah

#I Stand With Chibu
 
Habari wapendwa!!
Kama tujuavyo Bwana chibu dangote adondosha wimbo mpya kwa jina unaitwa The one.
Cha ajabu huu wimbo umepigwa views Milioni moja kwa masaa 17 tu uko You Tubuni.
Baadhi ya wadau mbali mbali wanasemaj kaweka maroboti uko you tubuni wengine ananuna hao views.
Yote Tisa kuhusu huo wimbo wa the one Mimi nilikua nao na ninao mpaka sasa.
Umeandikwa hivi
King_Tee_Dee FT Diamond Platnumz-The One

Baada ya kufuatilia kule Wasafi TV waliurusha huu wimbo nilishangaa sana huu wimbo si kashirikishwa? Iweje Leo wakwake?

Au jamaa King_Tee_Dee alimuuzia huo wimbo Diamond Platnumz?

Inatakiwa King_Tee_Dee atuweke sawa kuhuxu hili swala.

Nawasilisha.
 
bado hajaufikia wimbo wa baba yake. dudu la yuyu ndani ya masaa 6 ulikuwa na views milion 2 na ushee
 
Domo MWIZI,kipaji kwishney
#blackroseeffect#
Tatizo unakurupuka u know nothing acha mond aendelee kuwapiga tu, Nyimbo aliyoshirikishwa na King tee audio iko produced na Wasafi records chini ya laizer.

Ya sasa iko_produced na huyohuyo ila imeongezewa uzito ndani kuna saxophone
 
Back
Top Bottom