Kulupura
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 3,053
- 1,189
Sawa muhengaPole sana bwana mdogo kwa kuzaliwa miaka ya 2000. Mapenzi kila mtu anayo ndio sababu baba na mama yako wakawa pamoja hadi leo hii uko hapa JF. Huwezi na haiingii akilini uishi kwa kuwekeza akili katika mapenzi kama ni hivyo basi pasingekuwepo kazi za Jeshi, Masister na watu single. Akili zimeshikizwa kwenye mapenzi na ndiyo sababu nyimbo hazidumu kwani kuna maisha nje ya mapenzi. Wewe kama umeoa au kuolewa nini tena kuhusu mapenzi tena kupitia nyimbo ambazo huwezi kuenjoy ukiwa na familia yako. Duh mdogo wangu usinifanye nianze kukutafasiria nyimbo za wakali kama akina JB Mpiana ambaye hadi sasa anakaribia miaka sita hajatoa wimbo mpya lakini show zake zinajaa watu kuja kusikiliza nyimbo zake za zamani maana zimebeba maudhui ambayo hayachuji