Hiyo ni hadithi ya upande mmoja wa coin.; hujasikia upande wa pili. Story za upande mmoja zaweza kuwa na embellishments and omissions ndani yake. Ndiyo maana ni busara kuliacha jambo hili liwe kati ya Diamond na TRA wenyewe.
By now chronological order of events are clear to see who’s right or wrong at this stage and TRA is at fault.
Apparently sakata limeanza jana TRA kwenda ofisi za wasafi kukagua whatever. That is legal in most countries tax authorities can conduct random checks to see if people comply with the law.
Diamond being ignorant of the procedures mchana karopoka kwenye radio yake kama anaonewa (stupid but he dint break any laws airing is opinion).
In respond to Diamond interview TRA wakaamua kumfungia account yake (this is unlawful).
Diamond kalalamika mtandaoni kufungiwa account yake (umezuka mjadala) and he is right ni uonevu kufungia account yake bila ya kumtaka kwanza wa comply na chochote wanachodhani sio sahihi kabla ya kufunga account yake.
TRA baada ya kuona mjadala wametoa maelezo kuna kutokufuata kwa sheria zipi? We don’t know na walichoona jana inaweza kuwa their account practice, lack of evidence storage or whatever.
Either way at this stage ni maswala ya kuitana na kuongea kwanza walitakiwa wawaeleze jana hiyo hiyo yote hayo. Sheria inawaruhusu kufanya random audit test na kama walibaini makosa ya kiufundi kuwaeleza pia, hawakufanya hivyo.
So TRA is at fault and who’s to say, baada ya interview ya Diamond wameanza kutunga uongo mwingine baada ya kuamua kumkomoa kwanza kwa kufunga account yake.
Watu walipe kodi stahiki ilo halina mjadala, na kodi pia idaiwe kwa taratibu za kisheria.
👋