Diamond ulichokifanya umenifanya nihamie timu kiba

Kwani ni yeye Diamond alisema atakwepo au watangazaji walisema atakwepo?
 
Hilo swala linamuhusu je diamond? Muulize muandaaji, au ulitoa kiingilio udai hela yako
 
kwani ukisikia hapa panaitwa "bongo" unadhani ni rahisi rahisi tu.....

changamsha ubongo huo siku ingine,,

naomba na mrejesho wa ile discount mliopewa ya kuanzia 20%-70%
Hivi mkuu bongo ni wapi ni Dar au TZ
 
Makonda mwenye fafafa na Jina fake anawakusanywa vijana wa chuo na kuwasimamisha wanuke jasho huku akiwahada LIVE!!
 
Lakini si umefanikiwa kumwona Albert Bashite live? Sio mbaya.
 
we ni jinga sana. umetoka kwenu huko sengerema umekuja chuo mwaka huu unataka umuone diamond kwa kutumia kitambulisho cha chuo? kapambane na madesa mkuu.....
Mkuu nimekuvulia kofia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...sengerema to Dar.
 
Aahh wee jamaa, soma kwanza.
Acha ujinga kitaa kigumu
Diamond hakuji yeye anamaisha yake.
 
we ni jinga sana. umetoka kwenu huko sengerema umekuja chuo mwaka huu unataka umuone diamond kwa kutumia kitambulisho cha chuo? kapambane na madesa mkuu.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umenivunja mbavu.
 
Kwa uwezo huo wa kufikiri degree utsisikia kwa wenzako.
 
Reasoning capacity yako wewe mwanafunzi inatia mashaka. Wapiga promo wamewaingiza chaka then kosa anapewa Diamond? Haya mateam kumbe mpaka wanafunzi wa University!?
Kama alikuwa anajua haendi na anaona jina lake likitumika ktk matangazo nafikiri ingekuwa ni busara kukanusha ili kuwapa imani shabiki zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…