Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
Hamia CCM
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ni yeye Diamond alisema atakwepo au watangazaji walisema atakwepo?Naandika ujumbe kwa majonzi makubwa.
Ikumbukwe kuwa Leo kama ilivyokuwa ikitangazwa kuwa ni siku ya wanafunzi kushuhudia show pale mliman city. Mimi kama mmoja wa wanafunzi hao nimeacha madesa yangu nikaona niende kuangalia show nikijua diamond a.k.a simba ataimba kama walivyo kuwa wamtuaminisha lakini mwisho wa siku nimeishia kumuona dula makabila.. so sad.. nimeondoka kinyonge sana aisee
Usiku mwema jamani..
Hapana mkuu nilitoa kitambulisho tuHilo swala linamuhusu je diamond? Muulize muandaaji, au ulitoa kiingilio udai hela yako
Hivi mkuu bongo ni wapi ni Dar au TZkwani ukisikia hapa panaitwa "bongo" unadhani ni rahisi rahisi tu.....
changamsha ubongo huo siku ingine,,
naomba na mrejesho wa ile discount mliopewa ya kuanzia 20%-70%
Hivi mkuu bongo ni wapi ni Dar au TZ
Lakini si umefanikiwa kumwona Albert Bashite live? Sio mbaya.Naandika ujumbe kwa majonzi makubwa.
Ikumbukwe kuwa Leo kama ilivyokuwa ikitangazwa kuwa ni siku ya wanafunzi kushuhudia show pale mliman city. Mimi kama mmoja wa wanafunzi hao nimeacha madesa yangu nikaona niende kuangalia show nikijua diamond a.k.a simba ataimba kama walivyo kuwa wamtuaminisha lakini mwisho wa siku nimeishia kumuona dula makabila.. so sad.. nimeondoka kinyonge sana aisee
Usiku mwema jamani..
Mkuu nimekuvulia kofia[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]...sengerema to Dar.we ni jinga sana. umetoka kwenu huko sengerema umekuja chuo mwaka huu unataka umuone diamond kwa kutumia kitambulisho cha chuo? kapambane na madesa mkuu.....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umenivunja mbavu.we ni jinga sana. umetoka kwenu huko sengerema umekuja chuo mwaka huu unataka umuone diamond kwa kutumia kitambulisho cha chuo? kapambane na madesa mkuu.....
Kama alikuwa anajua haendi na anaona jina lake likitumika ktk matangazo nafikiri ingekuwa ni busara kukanusha ili kuwapa imani shabiki zake.Reasoning capacity yako wewe mwanafunzi inatia mashaka. Wapiga promo wamewaingiza chaka then kosa anapewa Diamond? Haya mateam kumbe mpaka wanafunzi wa University!?