Diamond ulichokifanya umenifanya nihamie timu kiba

Diamond ulichokifanya umenifanya nihamie timu kiba

kababae

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2017
Posts
280
Reaction score
246
Naandika ujumbe kwa majonzi makubwa.
Ikumbukwe kuwa Leo kama ilivyokuwa ikitangazwa kuwa ni siku ya wanafunzi kushuhudia show pale mliman city. Mimi kama mmoja wa wanafunzi hao nimeacha madesa yangu nikaona niende kuangalia show nikijua diamond a.k.a simba ataimba kama walivyo kuwa wamtuaminisha lakini mwisho wa siku nimeishia kumuona dula makabila.. so sad.. nimeondoka kinyonge sana aisee

Usiku mwema jamani..
 
Diamond hawezi kufanya show ya dk 15 ili kulinda brand yake
 
kwani ukisikia hapa panaitwa "bongo" unadhani ni rahisi rahisi tu.....

changamsha ubongo huo siku ingine,,

naomba na mrejesho wa ile discount mliopewa ya kuanzia 20%-70%
 
Back
Top Bottom