Diamond umemkosea nini Majizo na E-FM mbona hawachezi nyimbo zenu?

Diamond umemkosea nini Majizo na E-FM mbona hawachezi nyimbo zenu?

Nafikiri una hisi lakini mimi sijasikia kama kuna ugomvi wowote kwa sasa kati ya mameneja wa diamond na EFM? hao mameneja wameanza kuwa wabaya na wagomvi baada ya Diamond kuanza kufanikiwa?
Diamond kafanikiwa siku nyingi tu.

Kwanini station zaidi ya 2 ziwe na tafauti na lebel yake kama kweli mameneja wake ni wafanyabiashara wanaojielewa???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diamond kafanikiwa siku nyingi tu.

Kwanini station zaidi ya 2 ziwe na tafauti na lebel yake kama kweli mameneja wake ni wafanyabiashara wanaojielewa???

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini unadhani tatizo ni mameneja wake na sio wamiliki wa hivyo vituo wanashindwa kufanya biashara na Wasafi kinyume chake ina geuka vita?
 
Hizi habari si za kweli EFM wanapiga kama kawa na hata mwaka jana mwezi wa kumi Rayvany alipiga show ya komaa concert pale Tanganyika Parkers Kawe.
Wewe uko nyuma ya muda sana toka mwaka jana mwishoni kama sio mwezi wa tisa waliacha kabisa kucheza nyimbo zake,,,,,na ukifatilia watangazaji wa E-fm ndio wanaongoza kumchukia Diamond wakiongozwa na Gerald Hando.
 
Hii ishu ya kutocheza ngoma za wasafi nadhani kwanza lina pande mbili au zaidi!

1;Kibiashara!
Mmikiki wa chombo hawezi kuendelea kuzipa airtime zaidi nyimbo za wasanii ambao mwisho wa Siku kituo kikiandaa tamasha msanii au mameneja wake wanakaza msanii wake asitokee(hasa kwa hivi vituo vilijikita kiburudani zaidi)
Hii haiingii akilini .. ..

2;Wivu
Hapa kama ilivyo kawaida yetu Wabongo ukifika juu wanataka kukushusha na wanakuwekea mizengwe kibao kwa lengo la kutaka uendelee kua chini yao!

3; Msanii Binafsi
Kuota mapembe na kudharau wale walipmfikisha alipo licha ya kuwa anaweza akasema ni juhudi binafsi ndio zimemfikisha alipo ila ukweli unabaki pale pale Kuna watu (media) zilizomfikisha alipo!
Hapo kwenye kuota mapembe sijakuelewa kabisa... kwa hiyo awe anawatetemekea?
 
Kwanini unadhani tatizo ni mameneja wake na sio wamiliki wa hivyo vituo wanashindwa kufanya biashara na Wasafi kinyume chake ina geuka vita?
Kwasababu ni hao mameneja ndiyo hutupa vijembe kwa wamiliki wa station nyingine na kuwasisitiza kuwa wasicheze nyimbo zao, sasa meneja badala atulize mgogoro yeye anachochea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wasizicheze tu..bwana mdogo ashwahi kisema hahitaji media zozote Tanzania anaweza famya biashara na social media tu...na si ana redio yake.aitumie iyoo...
Wasalaam...
Ukiacha Clouds FM na East Africa radio ambao hawachezi nyimbo za Wasafi lakini kwa sasa wameongezeka E-fm nao hawachezi nyimbo za wasanii wawa safi...
Bado najiuliza hivi Diamond ana wakosea nini hawa watu ambacho kina wafanya wamchukie yeye na group lake?

Clouds Fm kupitia Kusaga walitangaza kuanaza upya na kusahau yote na hivi karibuni wataanza kupiga nyimbo zao..
Radio one wako tofauti kabisa na EA radio ...Radio one wanacheza nyimbo zote za Wasafi.
Bado najiuliza kwanini wamiliki wengi wa radio wanachukia challenge? Kwanini msanii akiendelea kidogo wana lazimisha kila mtu amuone mbaya?

Bado na jiuliza Diamond umemkosea nini Majizo?
 
Kimsingi radiuo nyingi kuanzia watangazaji na Madj ni mashabiki wa kiba na kwanini tusiseme hawa wamiliki wa radio wanapenda kuabudiwa na kuliliwa? nilishangazwa siku moja kumsikia Gerald hando akionesha chuki kubwakwa diamond.
Hivi kwanini mtu akifanikiwa anapachikwa jina ana dharau?
Domo na Kiba wote wana dharau ila kiba anajua aoenyeshe dharau wapi,domo hajui sehemu gani hautakiwi kuonyesha dharau,kwa msanii unatakiwa uheshimu media house maana ndio platform yako ya kukulink na maboss(mashabiki)......Lazima unyenyekee Media House huo ndio UBEPARI mkuu.
 
Kiukweli mara ya mwisho kusikiliza redio ilikua 2017 mwezi wa 4

Sasa hivi nasikilizaga vipindi vya michezo tuu....vipind vingine vyooote vya kiburudani haina haja kukomaa navyo sana

Maana nikitaka burudani yoyote ile naingia mtandaoni na nazipata kadri ninavyotaka mie,na sio kwa kupangiwa na dj flani katika kipindi.

Mkubali mkatae,itafikia mahali,radio station zote zitabakia kurusha vipindi vya taarifa ya habari na live events tu...teknolojia ya kijinga sana
 
Wewe ni mpumbav.

Hivi kuna msanii anaeabudu na kunyenyekea media nchi hii kama domo ?
Matusi ya nini mkuu? Unajua Sana kutukana ehee? Hivi ungetoa hayo mawazo yako bila hayo maneno ya kwanza ingekuwaje? Sasa kati yangu na wewe nani ni mpumbavu?
 
Kiukweli mara ya mwisho kusikiliza redio ilikua 2017 mwezi wa 4

Sasa hivi nasikilizaga vipindi vya michezo tuu....vipind vingine vyooote vya kiburudani haina haja kukomaa navyo sana

Maana nikitaka burudani yoyote ile naingia mtandaoni na nazipata kadri ninavyotaka mie,na sio kwa kupangiwa na dj flani katika kipindi.

Mkubali mkatae,itafikia mahali,radio station zote zitabakia kurusha vipindi vya taarifa ya habari na live events tu...teknolojia ya kijinga sana
Teknolojia gani unayoizungumzia?..marekani na teknolojia waliyonayo watu bado wanasikiliza redio,sembuse bongo??

Mtu yupo simuyu ndani ndani uko anaachaje kusikiliza redio??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Domo na Kiba wote wana dharau ila kiba anajua aoenyeshe dharau wapi,domo hajui sehemu gani hautakiwi kuonyesha dharau,kwa msanii unatakiwa uheshimu media house maana ndio platform yako ya kukulink na maboss(mashabiki)......Lazima unyenyekee Media House huo ndio UBEPARI mkuu.
Nasib ana dharau gani sasa? au kufanikiwa ndio dharau
 
Kiukweli mara ya mwisho kusikiliza redio ilikua 2017 mwezi wa 4

Sasa hivi nasikilizaga vipindi vya michezo tuu....vipind vingine vyooote vya kiburudani haina haja kukomaa navyo sana

Maana nikitaka burudani yoyote ile naingia mtandaoni na nazipata kadri ninavyotaka mie,na sio kwa kupangiwa na dj flani katika kipindi.

Mkubali mkatae,itafikia mahali,radio station zote zitabakia kurusha vipindi vya taarifa ya habari na live events tu...teknolojia ya kijinga sana
Mkuu radio kamwe haiwezi poteza umuhimu wake ..
 
Back
Top Bottom