Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Diamond kafanikiwa siku nyingi tu.Nafikiri una hisi lakini mimi sijasikia kama kuna ugomvi wowote kwa sasa kati ya mameneja wa diamond na EFM? hao mameneja wameanza kuwa wabaya na wagomvi baada ya Diamond kuanza kufanikiwa?
Kwanini station zaidi ya 2 ziwe na tafauti na lebel yake kama kweli mameneja wake ni wafanyabiashara wanaojielewa???
Sent using Jamii Forums mobile app