Nishida yaani kama hujapata wakutulia naye kisha mambo kamaChezea fursa hiyo[emoji23][emoji23][emoji385]
Mwenzangu mbona naona uzi umebadilika tena from dangote to diamondNishida yaani kama hujapata wakutulia naye kisha mambo kama
haya ke nikuchanganyikiwa[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Hata sielewi huyu mod kala kiroba cha wapiMwenzangu mbona naona uzi umebadilika tena from dangote to diamond
Mwenzangu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilijua mie macho kengeza daa wamecheza kama PeleMwenzangu mbona naona uzi umebadilika tena from dangote to diamond
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mm nilizima cm nikawasha tenaMwenzangu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilijua mie macho kengeza daa wamecheza kama Pele
Mie like ziligoma nikajua network kuja kuibuka haaaa Messi na RonaldoHata sielewi huyu mod kala kiroba cha wapi
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] nilikuwa natumia tablet nikaiacha nikachukua simu kuja kuibuka mweeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mm nilizima cm nikawasha tena
Ahaaa diamond nae si anajiitaga dangote? Kweli huyu mod nae kia..Mwenzangu mbona naona uzi umebadilika tena from dangote to diamond
[emoji23][emoji23][emoji23] walah nimejua kujichanganya nilijua AlikoAhaaa diamond nae si anajiitaga dangote? Kweli huyu mod nae kia..
Aliko ndo anatafuta mke ndio yupo single.sikumzungumzia mond. Kwani mond bilionea?[emoji23][emoji23][emoji23] walah nimejua kujichanganya nilijua Aliko
Basi uzi wameuchanganya hebu angalia vizurAliko ndo anatafuta mke ndio yupo single.sikumzungumzia mond. Kwani mond bilionea?
Nishaona .kuna mod kalewa humuBasi uzi wameuchanganya hebu angalia vizur
[emoji23][emoji23][emoji23] tena huyo atakua kanywa ile ngumu kumeza nyepesi kulewaNishaona .kuna mod kalewa humu
Hamisa ajifunze kumpotezea DiamondRuta kuna kipindi nilikua namtetea hamisa,ukanipinga….sijui kwa nini watanzania hatuelewi,Hamisa ni mdogo jamani kuzaa sio kuwa mtu mzima,young age,kids and fame vyote ukivichanganya ni mzigo mzito kwa mtu,ndio maana wengi mastaa tunawaona kwenye TV wanakula madawa ya kulevya,...…
Si kazaa naye ampotezee vipi.[emoji44] maaa [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Hamisa ajifunze kumpotezea Diamond
Si unajua zile za kuibgea kwa niaba ya mtoto tuSi kazaa naye ampotezee vipi.[emoji44] maaa [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] ni shidaaaSi unajua zile za kuibgea kwa niaba ya mtoto tu
Hamisa ajifunze kumpotezea Diamond