Diamond uwe na huruma, umemdhalilisha sana Hamisa Mobetto

Diamond uwe na huruma, umemdhalilisha sana Hamisa Mobetto

36526586_228898101088056_1296733888898400256_n.jpg
 
Hajamdhalilisha ndio ukweli ulivyo!!mi sijaona kosa la diamond
 
Ruta kuna kipindi nilikua namtetea hamisa,ukanipinga….sijui kwa nini watanzania hatuelewi,Hamisa ni mdogo jamani kuzaa sio kuwa mtu mzima,young age,kids and fame vyote ukivichanganya ni mzigo mzito kwa mtu,ndio maana wengi mastaa tunawaona kwenye TV wanakula madawa ya kulevya,...…
mtu wa miaka 28 ni mdogo?
 
Huyo hamisa njaa zake ndio zinamdhalilisha si vinginevyo
 
Mmemchamba mhaya wa watu mpaka kakimbia jomonii..
Hamna wala asikimbie,mambo kama haya ni ya sie wadada...ila nimegundua wanaume wa humu baadhi wanapenda umbea na wanafatilia page zote za udaku IG na wanajua breaking news zote za kidaku kuliko sie wadada!

Humu wanaonzishaga thread za umbea wengi ni wakaka!mpk nashangaa
 
Team CCM wanapewa bando za kushinda mitandaoni, usishangae sana.
 
Back
Top Bottom