Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona hamisa siku zote anasemaga yupo single?
Unatafuta namba zake za nini wakati wewe huwa hupendi kuinamishwa??[emoji53][emoji53][emoji53]Ndo nafuatilia hili jambo
Mbona wameachana sasa hivi!sema watu wanayakuza ili kumkera ila toka ile iyena uhusiano ulishakufa sasa hivi wanalea mwana tu!Hamisa ajifunze kumpotezea Diamond
So yakuandika mwanaumeMambo mengine bana
Kabisa yaniSo yakuandika mwanaume
mtu wa miaka 28 ni mdogo?Ruta kuna kipindi nilikua namtetea hamisa,ukanipinga….sijui kwa nini watanzania hatuelewi,Hamisa ni mdogo jamani kuzaa sio kuwa mtu mzima,young age,kids and fame vyote ukivichanganya ni mzigo mzito kwa mtu,ndio maana wengi mastaa tunawaona kwenye TV wanakula madawa ya kulevya,...…
Mmemchamba mhaya wa watu mpaka kakimbia jomonii..Wanaume wa jf wapo wengine wambea jamani
Hamna wala asikimbie,mambo kama haya ni ya sie wadada...ila nimegundua wanaume wa humu baadhi wanapenda umbea na wanafatilia page zote za udaku IG na wanajua breaking news zote za kidaku kuliko sie wadada!Mmemchamba mhaya wa watu mpaka kakimbia jomonii..
Hamna wala asikimbie,mambo kama haya ni ya sie wadada...ila nimegundua wanaume wa humu baadhi wanapenda umbea na wanafatilia page zote za udaku IG na wanajua breaking news zote za kidaku kuliko sie wadada!
Humu wanaonzishaga thread za umbea wengi ni wakaka!mpk nashangaa