Diamond uwe na huruma, umemdhalilisha sana Hamisa Mobetto

Diamond uwe na huruma, umemdhalilisha sana Hamisa Mobetto

Nishida yaani kama hujapata wakutulia naye kisha mambo kama
haya ke nikuchanganyikiwa[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Mwenzangu mbona naona uzi umebadilika tena from dangote to diamond
 
Mwenzangu mbona naona uzi umebadilika tena from dangote to diamond
Mwenzangu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilijua mie macho kengeza daa wamecheza kama Pele
 
Mwenzangu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nilijua mie macho kengeza daa wamecheza kama Pele
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mm nilizima cm nikawasha tena
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mm nilizima cm nikawasha tena
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] nilikuwa natumia tablet nikaiacha nikachukua simu kuja kuibuka mweeee
 
Ruta kuna kipindi nilikua namtetea hamisa,ukanipinga….sijui kwa nini watanzania hatuelewi,Hamisa ni mdogo jamani kuzaa sio kuwa mtu mzima,young age,kids and fame vyote ukivichanganya ni mzigo mzito kwa mtu,ndio maana wengi mastaa tunawaona kwenye TV wanakula madawa ya kulevya,...…
Hamisa ajifunze kumpotezea Diamond
 
Back
Top Bottom