Diamond uwe na huruma, umemdhalilisha sana Hamisa Mobetto

Hajamdhalilisha ndio ukweli ulivyo!!mi sijaona kosa la diamond
 
mtu wa miaka 28 ni mdogo?
 
Huyo hamisa njaa zake ndio zinamdhalilisha si vinginevyo
 
Mmemchamba mhaya wa watu mpaka kakimbia jomonii..
Hamna wala asikimbie,mambo kama haya ni ya sie wadada...ila nimegundua wanaume wa humu baadhi wanapenda umbea na wanafatilia page zote za udaku IG na wanajua breaking news zote za kidaku kuliko sie wadada!

Humu wanaonzishaga thread za umbea wengi ni wakaka!mpk nashangaa
 

Team CCM wanapewa bando za kushinda mitandaoni, usishangae sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…