Hahaa inasikitisha sana kwa kweli. Halafu utakuta ni baba na mandevu yake kabisa.Hamna wala asikimbie,mambo kama haya ni ya sie wadada...ila nimegundua wanaume wa humu baadhi wanapenda umbea na wanafatilia page zote za udaku IG na wanajua breaking news zote za kidaku kuliko sie wadada!
Humu wanaonzishaga thread za umbea wengi ni wakaka!mpk nashangaa
Ruta kuna kipindi nilikua namtetea hamisa,ukanipinga….sijui kwa nini watanzania hatuelewi,Hamisa ni mdogo jamani kuzaa sio kuwa mtu mzima,young age,kids and fame vyote ukivichanganya ni mzigo mzito kwa mtu,ndio maana wengi mastaa tunawaona kwenye TV wanakula madawa ya kulevya,...…
Sio yeye peke yake wako wengi humu ujue kama yeye!Hahaa inasikitisha sana kwa kweli. Halafu utakuta ni baba na mandevu yake kabisa.
Wengine hawana time na kuolewa kakaa!!!Kwani kazaa na Diamond peke yake?
Ukishazaa na mwanaume wa kwanza bila ndoa, ukazaa na mwingine bila ndoa, sahau ndoa.
Hukutakiwa kurudia kosa.
Wengine hawana time na kuolewa kakaa!!!
Ila wapo wenye watoto na wanaolewa pia!
Ila wapo wenye watoto na wanaolewa pia!
Hao wabongo muvi sidhani kama wana mda na ndoaTunamzungumzia nani?
KweliI can understand kama watoto ni wa mwanaume mmoja, ila kama ni wanaume tofauti na wote wako hai, mwoaji ajitafakari.
Hao wabongo muvi sidhani kama wana mda na ndoa
Kweli
Wengine huwa wanaolewa ila kizazi cha sasa kuoa mwanamke mwenye watoto wawili ni kipaji,wazazi wetu waliweza ila sisi vijana ni ngumu.Kwani kazaa na Diamond peke yake?
Ukishazaa na mwanaume wa kwanza bila ndoa, ukazaa na mwingine bila ndoa, sahau ndoa.
Hukutakiwa kurudia kosa.
kweli kabisasijaona alipodhalilishwa hamisa
Nyota ya kukanwa. Ila inauma sana.Pussy so sweet.... hahahaha wonders shall never end
Hana akitakacho zaidi ya maarufu!!!Point ni kuhusu udhalilishwaji unaozungumziwa hapa, anayetetewa anachotaka ni nini?
Siyo ndoa?