Diamond uwe na huruma, umemdhalilisha sana Hamisa Mobetto

Diamond uwe na huruma, umemdhalilisha sana Hamisa Mobetto

Hamna wala asikimbie,mambo kama haya ni ya sie wadada...ila nimegundua wanaume wa humu baadhi wanapenda umbea na wanafatilia page zote za udaku IG na wanajua breaking news zote za kidaku kuliko sie wadada!

Humu wanaonzishaga thread za umbea wengi ni wakaka!mpk nashangaa
Hahaa inasikitisha sana kwa kweli. Halafu utakuta ni baba na mandevu yake kabisa.
 
Ruta kuna kipindi nilikua namtetea hamisa,ukanipinga….sijui kwa nini watanzania hatuelewi,Hamisa ni mdogo jamani kuzaa sio kuwa mtu mzima,young age,kids and fame vyote ukivichanganya ni mzigo mzito kwa mtu,ndio maana wengi mastaa tunawaona kwenye TV wanakula madawa ya kulevya,...…

Kwani kazaa na Diamond peke yake?

Ukishazaa na mwanaume wa kwanza bila ndoa, ukazaa na mwingine bila ndoa, sahau ndoa.

Hukutakiwa kurudia kosa.
 
Kwani kazaa na Diamond peke yake?

Ukishazaa na mwanaume wa kwanza bila ndoa, ukazaa na mwingine bila ndoa, sahau ndoa.

Hukutakiwa kurudia kosa.
Wengine hawana time na kuolewa kakaa!!!

Ila wapo wenye watoto na wanaolewa pia!
 
Yuko tayari kudhalilihswa na ataendela kudhallishwa mpaka siku atakopotia akili
 
Kwani kazaa na Diamond peke yake?

Ukishazaa na mwanaume wa kwanza bila ndoa, ukazaa na mwingine bila ndoa, sahau ndoa.

Hukutakiwa kurudia kosa.
Wengine huwa wanaolewa ila kizazi cha sasa kuoa mwanamke mwenye watoto wawili ni kipaji,wazazi wetu waliweza ila sisi vijana ni ngumu.
Huyu dada yeye anazaa ila afanikishe maisha yke hilo liko wazi
 
Hamisa pekee ndie anaweza kuishi na yule kijana malaya. Zari kakimbia kwa kujiona, sasa anahaha mitandaoni akitumia hadi watoto ili arudiwe. Umri alionao D ukiolewa nae uwe na moyo kama wa Hamisa, anashukuru na anachopata si zaidi.
 
Back
Top Bottom