Diamond, Vanessa Mdee nominated in MTV Africa Music Awards 2015

Hahaha...akibeba tuzo sijui mtajificha wapi
 
Wengine wanamtafuta pia
 

Attachments

  • wp_ss_20150615_0020.png
    302.3 KB · Views: 504
  • wp_ss_20150615_0019.png
    217 KB · Views: 468
Hadi kwa hili tunakosa utaifa kweli???!
 
mtoa mada sema huna true love na diamond, kwan hata ww c mzalendo maana pichu uliyovaa c ya tz ni ya nje
 
Hahaaaaaa duniani kuna vituko. Wengi wanatumia uzalendo ka kivuli kufanikishia mambo yao kiukweli nchi hii hamna mzalendo labda late J.K. Nyerere.

Nyerere nae alikosa uzalendo maana alisaidia AFRICA KUSIN kupata uhuru na nchi nyingine nyingi tu…!!!
 
Nyerere nae alikosa uzalendo maana alisaidia AFRICA KUSIN kupata uhuru na nchi nyingine nyingi tu…!!!

Na hicho kiherehere ndo kilitufanya Mpaka Leo hatujapga hatua. Mana nguvu na resources zilizotumika huko zingetumika Tanganyika Leo tungekua tumepga hatua.
 
Hayaa sasa sie hayo hatuyajuii banaa
 

Attachments

  • InstagramCapture_577bd403-878c-4fa2-98fe-750bba53ef2e_jpg.jpg
    36 KB · Views: 277
*****************
msisahau Wadau
Kupiga kura
Diamond Platnumz kategori 3 (tatu) - Best MALE, Best COLLABORATION na Best LIVE and Vanessa 1(moja) -- Best FEMALE
ingia kwa link hii chini
MAMA 2015
Bonyeza bonyeza VOTE usichoke
 
*****************
msisahau Wadau
Kupiga kura
Diamond Platnumz kategori 3 (tatu) - Best MALE, Best COLLABORATION na Best LIVE and Vanessa 1(moja) -- Best FEMALE
ingia kwa link hii chini
MAMA 2015
Bonyeza bonyeza VOTE usichoke

ndo naniiiiiiiiiiiiii???? in joti's voice......
 
Diamond mungu akikusimamia ukabeba tuzo za MTV,sijui hawa mashabiki na team ujinga watajificha wapi,,,izi team ujinga nazichukia sana,na ningekua diamond ningechukua maamuzi magumu kuama na kuwaachia liinchi lenu,,make hampendagi mtu afanikiwe sijui mnamioyo gani,,,jinga sana
hamjifunzi hata kwa waliopita??? iv mnakumbuka mlivokua mnamshindanisha kanumba na Ray?? hamkujua kama Ray ule ugonvi ulimpa ushindani kwa kanumba na kumfanya nae tumuonemo,, lkn kanumba kasepa mnasema pengo hakuna wakuziba,,Ray kwa sasa kachuja na hakuna anefatiria movie kivile za huyu mtu,kanumba ndo alifanya watu tukaacha kuhusudu nigeria movie,
hivi hivi kwa diamond,alikiba anaonekana sababu ya hili bifu na team ujinga,alafu mashabiki ndio tunawashindanisha wala sio wao,apo ndo utajua kuna watu wanafiki sana tz,
akichukua tuzo hata moja sijui mtajificha wapi,,mungu mbariki Diamond, mbariki vanessa
 
uzalendo si angemtaja juma kasseja
mavi yake daimond...
Dinazarde kuchamba kwingi kuondoka na nnya
hizo nyimbo anazoshirikishwa kila siku ndo zinammaliza
 
Last edited by a moderator:
Amen

Diamond kuwa nominated tu ni ushindi mkubwa sana toka barani Africa na kuongezea ile ya tuzo uliyienda shule ya Africa Achievers omg nafuraha sana

Sasa hivi yupo anajadili jinsi ya kuwapaisha Yamoto Band, kijana ana roho nzuri na nyeupe ya kutotaka kupaa mwenyewe. Wasiompenda ni wale wanaotaka akae na kurudi maisha ya umaskini. Nyota yake inawaka waka hadi macho ya wengi yanachomwa nayo. Kijana wanampenda na kumuonea wivu hadi wanamsingizia kuwa anadharau na bado wanasikiliza na kudansi nyimbo zake na kutamania wawe wao, wanasahau kutaka wajue kafanyaje nao wafanye wapae kivyao hata kama sio kimuziki.

Ubarikiwe



Na kumpigia kura MTV awards
Ingia link hii

http://mama.mtv.com/voting/

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…