Black Book
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 228
- 207
Mimi #TeamMessi nimemaind pia kwa nin asiseme kama mesi hahah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaaaa duniani kuna vituko. Wengi wanatumia uzalendo ka kivuli kufanikishia mambo yao kiukweli nchi hii hamna mzalendo labda late J.K. Nyerere.
Mimi #TeamMessi nimemaind pia kwa nin asiseme kama mesi hahah
mtoa mada sema huna true love na diamond, kwan hata ww c mzalendo maana pichu uliyovaa c ya tz ni ya nje
Mimi #TeamMessi nimemaind pia kwa nin asiseme kama mesi hahah
Hahaaaaaa duniani kuna vituko. Wengi wanatumia uzalendo ka kivuli kufanikishia mambo yao kiukweli nchi hii hamna mzalendo labda late J.K. Nyerere.
Nyerere nae alikosa uzalendo maana alisaidia AFRICA KUSIN kupata uhuru na nchi nyingine nyingi tu !!!
*****************
msisahau Wadau
Kupiga kura
Diamond Platnumz kategori 3 (tatu) - Best MALE, Best COLLABORATION na Best LIVE and Vanessa 1(moja) -- Best FEMALE
ingia kwa link hii chini
MAMA 2015
Bonyeza bonyeza VOTE usichoke