Diamond, Vanessa Mdee nominated in MTV Africa Music Awards 2015

Hivi nyie mashabiki mandazi wa dai mmekula maharage ya wapi ninyi? Kwanini tuzo mkichukua ninyi mnataka mshangiliwe eti mziki umekuwa, lakini tuzo wakibeba wengine mnaanza kulialia eti dai anashushwa? Sasa basi mtuoneshe hiyo hati miliki ya tuzo.
 
Diamond na team zake wana kelele nyingi, akishinda inakuwaga shida, wanatusumbua sana,mbwembwe nyingi,dharau kibao...but anyway tumpage tu support wa kunyumba
 
tatizo la watz wanataka muwe level moja yani muwe mnaombana chumvi na vingine kama hvyo, ukijitosheleza tu usiwe unatoka kuomba kitu ni shida ata huyo kiba wao akifika level za mond watamchukia na kuanza kurap kua wao ndio wamempandisha watamshusha teh teh teh God have mercy!!!

Sema nini aliepewa kapewa tu jaman ni ngumu kuzuia mafuriko kwa mikono!!!!!!
 
Badala ya kushangilia tuzo mnakaa kumpigia promo Mondi mnatia huruma sana viumbe
 
Hadi kwa hili tunakosa utaifa kweli???!
aliunga mkono na kuimba kibwagizo cha PIGA KURA YA NDIYO KATIBA MPYA si mzalendo.... na kura yangu kwa davido.
katiba mbovu itaififisha nchi kwa miaka 50 ijayo na mond kaishupalia
 
Ujinga ujinga tu yaani kina Bwana Samata na Ulimwengu Thomas wapo leo anamtaja cr ambae hata haijui tz pyuuuuuuuuuu zake kule uzalendo hauolazimishi

na ww tunga wako uweke hayo majina ya kizalendo. Duh watu wengine bana au diamond tu ndio karuhusiwa kuimba? Alafu hapo ukute ni dume linalia hivi mkuu tafuta ugali wa familia acha kukosoa vitu vya kipumbavu mwenzio keshatoboa hivyo oooleleeee
 
aliunga mkono na kuimba kibwagizo cha PIGA KURA YA NDIYO KATIBA MPYA si mzalendo.... na kura yangu kwa davido.
katiba mbovu itaififisha nchi kwa miaka 50 ijayo na mond kaishupalia

Nawe umekazania hilo swala kuanzia asubuh huna point nyingne au
 
Bila kiba kudaka tuzo za kumwaga watu wasingelala macho kupiga kura hahahhahaahhahahaha safi next time mzinduke mapema pia.
 
Kenya nao wanatusaidiaaa safi sanaaa Eric omond
 

Attachments

  • wp_ss_20150615_0025.png
    118.2 KB · Views: 117
kuna tofauti ndogo kati ya hate and love....timu kubebwa hamumpendi Kiba ila mnamchukia Diamond so hamna namna nyingine zaidi ya kumshabikia kiba hata kama hakuwa chaguo lenu.....ila yote katika yote hamuwezi kumshusha Diamond mnapoteza muda na nguvu japo mnaweza kumpandisha kiba kidogo angalau hata Kenya wakamfaham.Mungu awasaidie jamani Kiba afanikiwe kufika Rwanda,Uganda angalau na Congo......ila huyu mwingine hamumuwezi mmechelewa #TeamBrandKubwaSioKitoto .......WCBforLife
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…