zaidi ya shilingi milioni 101,000 za beno ndulu
Diampond platnumz ametajwakuwania kipengele cha Best male east africa, Vanessa mdee akiwania kipengele cha best female east africa, Wakazi akiwania best hip hop , yamoto bend wakiwania kpengele cha most promosing male artist of africa na mrisho mpoto anaewania traditional male artist of africa.
Washindi wa vipengele vya best male na best female watapata tuzo na pesa dolla 50000 kiasi cha zaidi ya shilingi milioni 100 za kitanzania.

hivi hiyo dollar 50000 kwa hela ya madafu sawa sawa na kias gani?
Watu wametumia hela nyingi kwa ajili ya Ali Kiba Ili asiwekwe kwenye hizi nomination

Mbona king kibakuli hayupo mkuu
Wamenyooshwa hao....
Siku hiz wameachana na mzik kaz yao kufatilia wiz wa makontena
Acha kufananisha wasanii wa kimataifa na local..hizo tuzo za kimataifa