Diamond,Vanessa, Wakazi,na Yamoto Bendi watajwa kuwania tuzo za KORA 2016, washindi kupata USD 50000

Diamond,Vanessa, Wakazi,na Yamoto Bendi watajwa kuwania tuzo za KORA 2016, washindi kupata USD 50000

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Diampond platnumz ametajwa kuwania kipengele cha Best male East Africa, Vanessa Mdee akiwania kipengele cha best female East Africa, Wakazi akiwania best hip hop , Yamoto Bendi wakiwania kipengele cha most promosing male artist of Africa na Mrisho Mpoto anaewania traditional male artist of Africa.

Washindi wa vipengele vya best male na best female watapata tuzo na pesa dolla 50000 kiasi cha zaidi ya shilingi milioni 100 za kitanzania.
 
Attachments

  • KORA.jpg
    KORA.jpg
    101.8 KB · Views: 1,696
  • kora2.jpg
    kora2.jpg
    102.4 KB · Views: 962
  • kora3.jpg
    kora3.jpg
    100.1 KB · Views: 932
Diamond na Vanessa kuna chance kubwa ya kushinda ila huyo Wakazi labda iwe zali, huo wimbo wake mi nipo bongo na siujui ndio nauona leo
 
Diampond platnumz ametajwakuwania kipengele cha Best male east africa, Vanessa mdee akiwania kipengele cha best female east africa, Wakazi akiwania best hip hop , yamoto bend wakiwania kpengele cha most promosing male artist of africa na mrisho mpoto anaewania traditional male artist of africa.
Washindi wa vipengele vya best male na best female watapata tuzo na pesa dolla 50000 kiasi cha zaidi ya shilingi milioni 100 za kitanzania.

Mbona king kibakuli hayupo mkuu
 
Category ya artist of the year, ambayo haina nominees ila wao watakaa na kutaja mshindi atakula dola milioni moja sawa na bilioni mbili na zaidi za kibongo
 
Diampond platnumz ametajwakuwania kipengele cha Best male east africa, Vanessa mdee akiwania kipengele cha best female east africa, Wakazi akiwania best hip hop , yamoto bend wakiwania kpengele cha most promosing male artist of africa na mrisho mpoto anaewania traditional male artist of africa.
Washindi wa vipengele vya best male na best female watapata tuzo na pesa dolla 50000 kiasi cha zaidi ya shilingi milioni 100 za kitanzania.

Umemsahau mrisho mpoto kategory yao hawapewi milioni 100
 
Watu wametumia hela nyingi kwa ajili ya Ali Kiba Ili asiwekwe kwenye hizi nomination
 
Why Kiba..! Why always him..! Why Kiba, Why Kiba , Why Kiba....
Nani wanamchakachua..!!

Haiwezekani na hatukubali. Na hakuna ku vote kwa Di wala Vee M. Tunavote kwa waKENYA na WAGANDA.

Enough is Enough(in Magufuli)., wametuchakachua sana , wametudharaulia sana KING wetu. Sasa imetosha. Ni wakati wa Kiba kukamata MATUNZO dunia nzima...

Soooliidariteee foreeevaaa. Tumeamua sasa. #SUPPORTKINGKIBA.
#SASATUZOLAZIMA.
 
Back
Top Bottom