BORA UMUAMBIE MKUUNa je nikiliambia jukwaa kuwa hao viewers laki6 ndo haohao hawataongezeka,.... Nitakuwa nadanganya????
Hakuna lolote.. ushemela tuHivi nyimbo ya msanii ikipata like nyingi au viewers wengi huwa anafanikiwa na nini?
alooo umeusikiliza huu wimbo vizuri ndugu yangu?mi toka jana sichomoki youtube,duh kila mtu na mtazamo wake.wimbo ni wakawaida sana sema kwakuwa diamond ni msanii mkubwa utapgwa tu hata kama ni mbovu
wimbo wa mwisho wa diamond kuwa na viwer weni ni nana aliomshirikisha mr flavouralooo umeusikiliza huu wimbo vizuri ndugu yangu?mi toka jana sichomoki youtube,duh kila mtu na mtazamo wake.
Wasanii wa nje huwa wanalipwa on YouTube ila kwa tz sijui. Kukiwa na view nyingiHivi nyimbo ya msanii ikipata like nyingi au viewers wengi huwa anafanikiwa na nini?
Hivi nyimbo ya msanii ikipata like nyingi au viewers wengi huwa anafanikiwa na nini?
"mi toka jana sichomoki youtube"!!!!!!!watu kama wewe ndo mnafanya viewers wafike laki sita maana kama wewe tu peke yako kwa hyo siku nzima ambayo umesema hujachokoma pengine umefanya views ziwe 100alooo umeusikiliza huu wimbo vizuri ndugu yangu?mi toka jana sichomoki youtube,duh kila mtu na mtazamo wake.
Ata ukiangalia Mara buku view zinahesabika Mara moja tu"mi toka jana sichomoki youtube"!!!!!!!watu kama wewe ndo mnafanya viewers wafike laki sita maana kama wewe tu peke yako kwa hyo siku nzima ambayo umesema hujachokoma pengine umefanya views ziwe 100
Acha uongo basi mheshimiwa,,,,Ata ukiangalia Mara buku view zinahesabika Mara moja tu
Afadhari Umemjibu mjinga asiyejua na asiyetaka kuuliza kwanza.Ata ukiangalia Mara buku view zinahesabika Mara moja tu
Nilichogundua Unajitia ujuaji mwingi kumbe bogazi.wimbo wa mwisho wa diamond kuwa na viwer weni ni nana aliomshirikisha mr flavour
Kama Huvijui vizur utavijuaje vibovu?wimbo ni wakawaida sana sema kwakuwa diamond ni msanii mkubwa utapgwa tu hata kama ni mbovu
Haiko hivyo mkuu..."mi toka jana sichomoki youtube"!!!!!!!watu kama wewe ndo mnafanya viewers wafike laki sita maana kama wewe tu peke yako kwa hyo siku nzima ambayo umesema hujachokoma pengine umefanya views ziwe 100