Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

umeongea ukweli kabisa mwanaume gani unakaa kushindana na sidiria huyo si atakua mwanaume dhaifu
Jamaa kampani zake siku hizi ni kina JUMA LOKOLE, Ukijumlisha na anavyogeukia mashabiki anawakatia mauno ( e.g Kenya ) na mashairi ya nyimbo yalivyojaa neno Msambwanda, sijui.

Biblia inasema "Kinywa hunena yaliyoujaa moyo".

Wenzake kina DAVIDO wako busy wanapanda kwenye majukwaa makubwa kama SUMMER JAM, COCHEALLA, Wizkid anapanda majukwaani na kina TY DOLLAR SIGN na DRAKE, Yeye yuko busy INSTAGRAM anatukanana na vitoto vi-akina OFFICIAL LYYNN.
 
Hahaha umesahau zari alipo weka ua jeusi pia watu walim mtukana mondi ?
Haka ka story hakaja balance, kila mtu atamuhukumu zari tu hapa ingependeza tusikie na upande wa pili


Hivi kale ka wimbo ka kuchit aibu mpaka kwa vyombo vya habari alitungiwaga eee
 
Bado nadhani kama aliweza kuyavumilia haya muda wote basi kulikuwa hakuna umuhimu wa kuyazungumza haya sasa... Zaidi ya hapo ni muendelezo wa kutafuta kick ukizingatia jana kaachia ngoma mpya
 
Nasikia uchungu nikijikuta nasoma habar za kipuuzi kama hivi...huku kwenye akaunt yangu kuna buku ,20 tu..na hao wapuuzi tunaowasoma na kuwatolea comments zaidi ya elfu moja wana mamilioni kwenye akaunt zao ..
 
ndio shida hio mkuu yaani ukizaliwa uswahili maisha ya kiswahili huwezi kuyaacha kwa levo aliyofikia dai kuna mambo mengine anatakiwa apige kimya kwa vile yeye alisha zoea kiki yeye anaona sawa tu kupayuka
 
NImefurahi Diamond ameelewa kuwa Mwanamke akiachana na Mwanaume hutumia watoto kumuumiza mwanamme, SASA AJUE PIA MAMA YAKE ANAMTUMIA YEYE MOND KUMUUMIZA BABA MONDI, it is just a straight line mathematics MOND should know and behave maturely now.
Anajisahaulisha kama na yeye na baba yao ndio hivyo hivyo mama ake anachomfanyia.
 

Achana na funguo kama kichwa cha mtt kinapita itashindikana hivyo vingine[emoji23]
 
Kaona kulipa watu instagram kumchafua Zari kumebuma, kaamua kumchafua mwenyewe. Eeeeeeh mbona hakumuacha kabla.. muongo sana huyo libaba.
bibiii upooo... πŸ˜€πŸ˜€ hebu jaribu hiyo nafasi ya zari uwe wewe alafu ndo utajua kuwa MONDI hatanii nahivi ulivo mzee hivyo yaani wewe bora uwe mpole tu kama anavo taka vinginevyo KIBUTI KINAKUJIA FASTAAA.. UKIMZINGUA ANAKUZINGUA KINOMAA!!
UPOOO BIBIII.... HhahahahahaaaaπŸ˜€πŸ˜€
hatahivyo hiyo siyo type yako utaumbuka bure ukiombwa mambo yetu utaweza kutoaa?? ZARI angalao alimudu kiasi fulani ila MONDI alikuwa anamuenjoy tu.
 
Point kabisa umeongea
 
Walioana kimila ukifatilia google utaona picha zao za sherehe husika
Walishindwa ndoa ya kanisani kwakua dadaa ni Muslim
Anadate kibenten kipya asa hivi..anakigichaficha wee watu wakaki expose ..kijamaa kinavinjari kila siku kinabadili magari ya zari
Usiku mzima tulikuwa kwenye mkesha kwa Mange. Yeye alituambia jamani bi tukinao huko hali si shwari, ki benten kinamsomesha namba ya mapenzi. Mara tukaona ua jeusi.

Jana alikuwa na tea party usiku mzima. Diamond jana ametupa hot tea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…