Hakuna lolote wamaume wengi huwa hawapendi kuonekana wameachwa mbona baada ya Zari kutoa ua jeusi alisema ataenda south kwa magoti kuomba msamaha akamtuma Hadi babutaleHata hivo hamisa si chaguo lake ndo maana anamtumia halafu akimaliza haja zake anamzingua
Ni kwasababu ya watotoHakuna lolote wamaume wengi huwa hawapendi kuonekana wameachwa mbona baada ya Zari kutoa ua jeusi alisema ataenda south kwa magoti kuomba msamaha akamtuma Hadi babutale
Ni kwasababu ya watoto
Mond alitulia lini?Mbona unatumia nguvu nyingi kubisha,Zari alikuwa hajatulia
Hamna haja, its wasting of time.Boss kwani ukiamini unachoamini abpur zarina si poa tu au ??
Depend on how much u knw her so i respect either way kama unafeel ana hela au hana ni choice yake sidhan kama tunapaswa kuendelea kubishana kwenyw hili
Maneno ya mkoswaji, lazima kujikosha, mwanaume mkeo acheat eti kavumilia mmm urongo kabisa atulie tu sindano iingie vizuriHakuna lolote wamaume wengi huwa hawapendi kuonekana wameachwa mbona baada ya Zari kutoa ua jeusi alisema ataenda south kwa magoti kuomba msamaha akamtuma Hadi babutale
Acha kujitetea nenda kamuone mwanao for God sake yaani kisa hapokei simu au hajibu sms ndo umepa excuse ya kuuchunaKama hayajakukuta huwezi kulielezea vizuri hili... Em passing through this...Nina mwwezi wa tano sasa nikipiga simu haipojekewi wala msg hazijibiwi nukikumbuka nilivyohangaika na huyu Mtoto tangu mimva mpaka anazaliwa uwa namwachia mungu tu!!
Hapo sasa kama haleti ushirikiano kwanini asitume tu matumizi na kukaa kimyaWatoto hao hao aliowatelekeza? Au watoto wapi?
Acha kujitetea nenda kamuone mwanao for God sake yaani kisa hapokei simu au hajibu sms ndo umepa excuse ya kuuchuna
Miezi 5 hujui Nini kinaendelea nenda kamuone mwanao akakufukuzie getini. Mtoto Ni wako una Kila sababu yakwenda kumuona hata kungekuwa na vita. Your own fresh blood sir.
Kuna picha moja Zari alikuwa kwenye swimming pool na shemeji yake maji yakonyesha Kama ameshikwa kalioManeno ya mkoswaji, lazima kujikosha, mwanaume mkeo acheat eti kavumilia mmm urongo kabisa atulie tu sindano iingie vizuri
Hamna haja, its wasting of time.
Anazo hana ni yeye,all argument come from your first post.
Relax
I dnt care.Amini unachoamini boss
Umeshindwa kuelewa nilichoandika aint my problem
I dnt care.
But she live her life[emoji847].
Hivi ule msamaha wa clouds ulikuja baada ya jamaa kuchitiwa tena na wanaume wawil eehKuna picha moja Zari alikuwa kwenye swimming pool na shemeji yake maji yakonyesha Kama ameshikwa kalio
Diamond alipaniki Hadi akaipost na maneno ya kuchukia baadae akaja kugungua picha ilipigwa na mke wa jamaa akaifuta post na kuomba msamaha
Alafu eti ndo akute amechitiwa live akae kimya? Sio mtu mwenye kaba yule lazima angeropoka
[emoji23][emoji23][emoji23] wanaumia roho kwa maisha ya mtu mwingine
Hata uandike vipi mtu mwenye chuki binafsi kwa mtu hawezi kukuelewa.Amini unachoamini boss
Umeshindwa kuelewa nilichoandika aint my problem
Pesa gani unayoongelea ww?ye hana hela ila anaitafuta vizuri tu kwa kuwatengeneza hawa ma baby dady wasioenda shule.
Ww je?
Mkishamiliki vi toyota mnaona mmemaliza life.