Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

Boss kwani ukiamini unachoamini abpur zarina si poa tu au ??
Depend on how much u knw her so i respect either way kama unafeel ana hela au hana ni choice yake sidhan kama tunapaswa kuendelea kubishana kwenyw hili
Hamna haja, its wasting of time.
Anazo hana ni yeye,all argument come from your first post.
Relax
 
Hakuna lolote wamaume wengi huwa hawapendi kuonekana wameachwa mbona baada ya Zari kutoa ua jeusi alisema ataenda south kwa magoti kuomba msamaha akamtuma Hadi babutale
Maneno ya mkoswaji, lazima kujikosha, mwanaume mkeo acheat eti kavumilia mmm urongo kabisa atulie tu sindano iingie vizuri
 
Kama hayajakukuta huwezi kulielezea vizuri hili... Em passing through this...Nina mwwezi wa tano sasa nikipiga simu haipojekewi wala msg hazijibiwi nukikumbuka nilivyohangaika na huyu Mtoto tangu mimva mpaka anazaliwa uwa namwachia mungu tu!!
Acha kujitetea nenda kamuone mwanao for God sake yaani kisa hapokei simu au hajibu sms ndo umepa excuse ya kuuchuna
Miezi 5 hujui Nini kinaendelea nenda kamuone mwanao akakufukuzie getini. Mtoto Ni wako una Kila sababu yakwenda kumuona hata kungekuwa na vita. Your own fresh blood sir.
 
👌👌👌😘☝️
 
Mond kaumia sana kuachwa na ndio maana anasema hakua akimpenda kiihvyoo

Ukiona x wako anakutoa kasoro baada ya kuachana ujue ana maumivu
 
Maneno ya mkoswaji, lazima kujikosha, mwanaume mkeo acheat eti kavumilia mmm urongo kabisa atulie tu sindano iingie vizuri
Kuna picha moja Zari alikuwa kwenye swimming pool na shemeji yake maji yakonyesha Kama ameshikwa kalio
Diamond alipaniki Hadi akaipost na maneno ya kuchukia baadae akaja kugungua picha ilipigwa na mke wa jamaa akaifuta post na kuomba msamaha

Alafu eti ndo akute amechitiwa live akae kimya? Sio mtu mwenye kaba yule lazima angeropoka
 
Hivi ule msamaha wa clouds ulikuja baada ya jamaa kuchitiwa tena na wanaume wawil eeh
 
Tell them[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]all they own is cheap rumours and gossiping about Zari.
Pesa gani unayoongelea ww?ye hana hela ila anaitafuta vizuri tu kwa kuwatengeneza hawa ma baby dady wasioenda shule.
Ww je?
Mkishamiliki vi toyota mnaona mmemaliza life.
 
Back
Top Bottom