brave one
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 4,879
- 7,386
Hakuna lolote wamaume wengi huwa hawapendi kuonekana wameachwa mbona baada ya Zari kutoa ua jeusi alisema ataenda south kwa magoti kuomba msamaha akamtuma Hadi babutaleHata hivo hamisa si chaguo lake ndo maana anamtumia halafu akimaliza haja zake anamzingua