Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

Nimegundua Dai ni gentleman sn,Bibie alivyokua anajishebedua mara BBC mara vijimichambo vya hapa na pale,Dai kimyaaa,sasa ameona ni wakati sahihi na yy kutoa ya moyoni,muacheni tu kwakweli,tushagundua Zari ni mdangaji tu kama wengine sema yeye ni mzee wa underground
 
Ila Zari bn,mpk watoto akaanza kuwapeleka kanisani ilhali ni waislam,yeye mwenyewe zari kwao waislam lkn kumkomesha Dai akaamua kuwapeleka kanisani na anarusha insta,Dai amevumilia mengi
 
Diamond is hurt with Zari moving on
Period
There's no way i can now talk about an ex i care less for
 

Oh ok
Sio sikumsikiliza vizuri.. sikuisikiliza kabisa bali vipande hivyo vingine vichache.. watu walivyochomoa akidanganya juu ya Zari ndio nilisikiliza. Na wala sitamsikiliza hata nyimbo yake naipita
 
mimi nasikitia watoto,mjue wale sio tandale type-wanalelewa kizungu-mbele ya safari wanakuuliza Daddy where have you been??mara wanakupotezea kijumla-nimeona mifano hii kwa watu wa karibu sana ndio maana i fear the worst.Diamond anatakiwa akwaruzane na akina mobetto ambao ukitokea tuu mbele yake ana melt-but to Zari who has exposure and has seen everything hapa he will lose the kids
 
Let bygone be bygones
 
Ninaamini ni kweli mwanaume kamili hawezi kufunguka kama hivyo kama halijamgusa. Ila naona kuna shida kwa prince maana jamaa hamzungumziagi kabisa zaidi ni Tiffah tu basi
Halafu sasa ukiona mwanaume kasema ujue yamefika kooni wanaume si waongeaji pindi mkiachana
 

ona aibu!..tumia ubongo
Diamond ni mungu wako? punguza mahaba ya kukufuru

Diamond mwongo, kama umeamua kuamini haukatazwi lakini kumbuka unaamini uongo hata kama utaupaka rangi uitwe ukweli
 
Kaona kulipa watu instagram kumchafua Zari kumebuma, kaamua kumchafua mwenyewe. Eeeeeeh mbona hakumuacha kabla.. muongo sana huyo libaba.
Ila unaweza kutangaza kumuacha mtu yeye asitoe response yoyote hashtuki, hajibu tuhuma kweli ukawa mshindi???
 
Unaowamini wote miungu yako!

Tumia wewe ubongo kufikiri niache nifikiri nijuavyoo...!!!

Endeleza chuki zako kwa daimond!!

Kwanza kwa imani yangu Mungu hafananishwi....mjajwjwkwvjkfdls weee
ona aibu!..tumia ubongo
Diamond ni mungu wako? punguza mahaba ya kukufuru

Diamond mwongo, kama umeamua kuamini haukatazwi lakini kumbuka unaamini uongo hata kama utaupaka rangi uitwe ukweli
 
Unaowamini wote miungu yako!

Tumia wewe ubongo kufikiri niache nifikiri nijuavyoo...!!!

Endeleza chuki zako kwa daimond!!

Kwanza kwa imani yangu Mungu hafananishwi....mjajwjwkwvjkfdls weee

hakuna mahali nimesema namchukia diamond, kikubwa kwa wote unaowaamini use right senses

Jamaa kakuandalia logic na statement zinazopingana

mswahili yule Tangu awali angejua mkewe analiwa na P.square asingekaa kimya, ni mswahili yule, anaweza kukuua kwa manenon

Mwanamke aliyecheat ..hawezi kuwa wife material

pole
 
Bwana unanchosha na gazeti refu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…