Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
Nyie watu sijui akili zenu huwa mnazipeleka wapi, hivi hili nalo linahitaji PhD kujua ukweli? ushamsikia wapi Diamond akililia au kuonesha tu kuguswa na kuachana na Zari? Zari kila kukicha ilikuwa ni madongo na vijembe kwa Diamond na hii inaonesha nani aloachwa, Diamond ni binadamu kachoka kuvumilia upuuzi huo kaamua kuanika ukweli.
unless u don't understand women.....keep growing son!!Domo yuko tayari kufanya chochote kaajili ya pesa na umaarufu. Kaona mademu zake kina Mabeto na Tanasha hawakiki kaamua kumchafua Zari na Peter.
Peter ana familia yake. Zari naye ana maisha yake sasa.
Ama kweli leo nimeamini kwanini Jay Z na Beyonce hawataki tena ukaribu wa Kanye na Kim.
Yaani kuna vidubwana vikiona vinaelekea kubuma viko tayari kukuchafua kwa namna yoyote vijiboost.
Pole sana Zari, alichobakiza Domo ni kusema aidha wewe msagaji au unashiriki mapenzi kinyume na maumbile.
"Bitch is dying for shame"Zari una mapesa,deal na diamond properly..iwe fundisho kwa wote wanaochafua image za ma ex wao...LOLS.
kama ana kosa kisheria mpeleke mahakamani wala usimtusi humu mtandaoni,utajidhalilisha tu lol
unaambiwa ukimzungua anakufanyia vituko mpaka unaindoka.Mbona na yeye alichepuka mpaka na kuzaa nje? Aliwahi kuhojiwa alikanusha kuwa hakuwa na mahusiano na hamisa. Wote hamkutulia mnaishia kulaumiana tu
unaambiwa ukimzungua anakufanyia vituko mpaka unaindoka.
Picha zipo sana alizopiga na peter ila za kawaida tuHivi kwa akili ya kawaida tu ya Bashite unamwamini Domo tena katika mazingira aliyoongea na muda kuhusu suala hilo ?
Kwa jinsi Zari alivyokuwa desperate wakati anakutana na Domo unadhani kweli alikuwa na mtu ?
Zari ni mtu wa social media na mapicha picha ndio maana mapicha yote ya kina Faruk na mcheza basket yapo, kwanini ya Peter yasiwepo.
Mimi namhurumia Peter na familia yake.
Namhurumia Zari na familia.
Domo ni shetani aliye tayari kufanya chochote au kusema chochote kuji-boost.
Kaona Tanasha na drama ya ndoa kaona hakuna mwenye time nayo, kaona amchafue Zari.
Domo ndo kwanza ana 30 yrs, mpaka anafikisha 32 nadhani atakuwa ashasema analiwa Tigo, anamla mama yake au mwanaye.
Maana siku hizi kazi zake haziendi kabisa bila madrama.
Hv kwann mnaamini zari ana pesa??
Zile show offs ndo zinawadanganya hvyo?guys dah hv mnamjua zari vizuri??
Ndio maana wengi wanamuona Zarina kama hustler sijui nini.
Waulize wataje biashara 3 tu za Zari zaidi ya kuwa danke danke. Tofauti yake na wengine yeye anadeal na wanaume wenye hela ili awalie hela zao baasi ila hana ubosslady wala usafi wowote yani
Yeye na Wema hawana tofauti hata sema tu mmoja analiwa na mataifa mmoja anakitembeza bongo ila Zari hayuko hivyo fans wake wa bongo wanavyomchukulia.
Tatizo hawajui hata alishaachana na Ivan akaenda kwa Peter akajuaga Peter atamuoa mpaka safari ya kina Peter Bongo alikuja bila kuitwa.
Anahangaikaga Huyu aaminishe watu ana maisha mazuri
Alimkana mwanae ila akamkubali Nilan ambaye sio damu yake,wanaume tunakufa mapema sana kwa mambo mengi nyie wanawake hatari sana....hivi unajua kwa nini Mond 99% akitaja watoto wake ana muongelea tiffah tu?
Nyie mashabiki wa zari the boss. Mwambieni kwamba WCB FM sio Radio ya taifa kama anavyoielezea huko Ig.
Haruki ruki bwana. Jamaa ham support financially. Alikuwa diamond analeta mwanamke ndani nafikiri yale mambo ya hereni.Kuwaona watoto tangu last year. Na yeye kasema akiamua kutapika atatapika. Ila ki ukweli sie wasomaji tupo lakini sio poa wanavyofanyiana.wanampa faida nani wakati kila mtu amesha move on
Nimeangalia Interview yote na Zari aliuliza na kusema vitu viwili kwenye insta yake lakini hakuna mahala amekanusha hiyo habari kwahiyo acha kujifanya msemaji wake,,, usiwe unaegemea upande mmoja kuna time huyo demu alimfananjsha mchizi na mbwa mbona jamaa alikausha ila leo kaguswa yeye naona mashabiki wake mnatetema kumbuka Zari yeye binadamu na ana Mbunye kama wewe sishangai kuchepukaKaona kulipa watu instagram kumchafua Zari kumebuma, kaamua kumchafua mwenyewe. Eeeeeeh mbona hakumuacha kabla.. muongo sana huyo libaba.
Amedanga kwa Ben ten amepata nyumba, kwa Peter alikuwa wa underground na yeye alikubali.Hv kwann mnaamini zari ana pesa??
Zile show offs ndo zinawadanganya hvyo?guys dah hv mnamjua zari vizuri??
Personal trainer plus peter na bado diamond hahahahaa happy Ana miaka 38, embu tuwe serious zari ni wema wa uganda
As long as i know men are always right, then who cares ?unless u don't understand women.....keep growing son!!
Duhhh.... Mkuu andika kiswahili tu..unless u don't understand women.....keep growing son!!
Inaelekea Diamond anamtaka Tiffa amlee mwenyewe sasa Tiffa bila Nilan dadaa si staumbuka?Leo diamond kajua kunipa rahaaa,sijui team zari wanaharishaje leoo,,na zari endelea kiherehere cha kumjibu dai soon atauamwaga ya kuhusu nillan si unaona anaongelea tifa tu,ulimcheka hamissa leo wapii tumejua πππ
Diamond ni mwanaume wewe, mwanamke hatakiwi kucheat, hakuna cha kuhisiwa wala nini sema hukuskiliza interview, Diamond kakamata Zari akichat na Peter jamaa anashukuru kwa penzi motomoto..heheHa ha ha ngoja embu fanya tafiti mademu wa hapa bongo wanaeza kuwa na wanaume wangapi kwa kipindi cha miaka 4, utachoka na utakuja kugundua zari anajitunza mda wote kwenye relationship anahisiwa tuu kutoka na wanaume wawili seriously?hesabu kwa diamond sasa