cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
Ungemalizia na Bashite Oyeeee hakika ingependeza.
Ni nani huyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungemalizia na Bashite Oyeeee hakika ingependeza.
0764 889 000 wazee mpige simu muongee na Simba[emoji13][emoji13][emoji13]
Hivi kwa akili ya kawaida tu ya Bashite unamwamini Domo tena katika mazingira aliyoongea na muda kuhusu suala hilo ?Sema story ya Zari na Peter kitambo kweli kumbe hawakuachanaga?
Haya wale wa bidada bosslady kumbe anadanga tu kama Sisi waje waone alivyokua anakitembeza
MMMNhhhhh…. hata kama alikua anacheat,yeye Diamond hakucheat pia??..wanawake kuletewa mtoto ndani ni breaking up point...uhusiano lazima ulege lege...afadhali umkute mwanaume na mtoto ila sio kuletewa ndani, wachache sana wana survive this,mie simlaumu Zari kutafuta na kupata attention somewhere else...Mondi ndio responsible kila siku wanawake...hafu sasa hivi anataka ku play sympathy card..hovyoooooo
Ila zari mbona yule ex wake marehemu Ivan alikuwa close na watoto wake wakati hawakuwa pamoja. Dogo alikuwa hasikiki kiivyo ila hii interview itampa kiki
But she is bitch[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Kaona kulipa watu instagram kumchafua Zari kumebuma, kaamua kumchafua mwenyewe. Eeeeeeh mbona hakumuacha kabla.. muongo sana huyo libaba.
Kipindi mwanamke akitaka kushindana na mwanaume thats where everythbg falls apart
But anyway ndo kizazi cha leo hcho
Kipindi mwanamke akitaka kushindana na mwanaume thats where everythbg falls apart
But anyway ndo kizazi cha leo hcho
Trainer plus peter, let's agree she is classic bitchMMMNhhhhh…. hata kama alikua anacheat,yeye Diamond hakucheat pia??..wanawake kuletewa mtoto ndani ni breaking up point...uhusiano lazima ulege lege...afadhali umkute mwanaume na mtoto ila sio kuletewa ndani, wachache sana wana survive this,mie simlaumu Zari kutafuta na kupata attention somewhere else...Mondi ndio responsible kila siku wanawake...hafu sasa hivi anataka ku play sympathy card..hovyoooooo
mtu akikuumiza.. you don't think straight..lol
But she is bitch[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Zari ana akili sana, kamjibu vizuri sana. Zari 3 - 0 domo
Ila nae hana washauri wazuri kabisaaaa huyo domo
Zari una mapesa,deal na diamond properly..iwe fundisho kwa wote wanaochafua image za ma ex wao...LOLS.
kama ana kosa kisheria mpeleke mahakamani wala usimtusi humu mtandaoni,utajidhalilisha tu lol
Am not sure thats shud be an excuse mamangu
By the way zari is zari blv me she always that slut
baba yangu,you don't call some one you don't know a slut...besides huu u team Zari na u team Diamond,Zari kakufanya nini personally mpaka umuite slut??…..
But she is bitch[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
I knw zari mamangu
Trust me when i tell u that
Besides sina huo utoto wa hzo team zenu n i dont like diamond pia n am not his fan at all
mnhhhh by calling her a slut...I know which side are you on...