Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

Ama kweli sometimes unaona mapicha picha watu wamekumbatiana kumbe ni maigizo tu. Mwenyewe diamond amesema zari ndie aliependa kuliko yeye alivyompenda. Ila kwenye picha picha unaona kama yeye ndio aliekuwa into her.
 
Kila mwenye kujua aliliona hilo, bibi Alijua kafika
 
Ama kweli sometimes unaona mapicha picha watu wamekumbatiana kumbe ni maigizo tu. Mwenyewe diamond amesema zari ndie aliependa kuliko yeye alivyompenda. Ila kwenye picha picha unaona kama yeye ndio aliekuwa into her.
Sio kila kinachoonekana ni dhahiri ni dhahiri
 
Hopefully wata sort it out kwa ajili ya hao watoto.kwa sababu watakaoumizwa ni hao watoto
 
Diamond alitaka watu mumzungumzie either kasema ukweli or uongo lakini amefanikiwa malengo yake kwa 100%
Ila kuna kitu hakiko sawa. Iweje bibi mtu yupo huru kuwasiliana na watoto na zari anajua diamond yupo close na mamaake. Ila zari azuie diamond asiongee na watoto? Mimi huyu jamaa simuamini amini ingawa ni mzuri sana wa kuongea yapo mengine amesema ambayo yana make sense ila wewe jiulize mbona babaake tu anamkaushia. Baba kaenda pale studio unahisi kabisa hana furaha nae. Maybe kiki ya nyimbo yake
 
Amefaulu kuwa talk of the town. Period
 
Nilisema hapa huyu dogo kapigwa mchuzi mzito halafu kisheria.hapo mpaka wale madogo wawe 18 no excuse.
Hakuna hadithi Zari kamuweka sawa pazuri tu tufkirie baada ya miaka 10 km huyu dogo ataendelea kumantain status yake.
Huku kuna M 4
Hamisa M 2+
Babu Tale
Yule jamaa wa TMK
Salaah 10m +
Rommy+ mama,dada Esma,Jumalokole
And list goes on sogeza mda 3 yrs.
 
Utakuja kuelewa vzr siku ukiachana na mzazi mwenzako..i had an experience...!mtu anakwambia huyu kunguni hajawahi kuninunulia hata underwear wakati mkononi ana sumsung note 4 kanunuliwa na huyo kunguni..!?mapenzi yakiisha uongo hujitokeza
Sawa chief officer
 
Ila zari mbona yule ex wake marehemu Ivan alikuwa close na watoto wake wakati hawakuwa pamoja. Dogo alikuwa hasikiki kiivyo ila hii interview itampa kiki
 
Kaona kulipa watu instagram kumchafua Zari kumebuma, kaamua kumchafua mwenyewe. Eeeeeeh mbona hakumuacha kabla.. muongo sana huyo libaba.
Domo yuko tayari kufanya chochote kaajili ya pesa na umaarufu. Kaona mademu zake kina Mabeto na Tanasha hawakiki kaamua kumchafua Zari na Peter.

Peter ana familia yake. Zari naye ana maisha yake sasa.

Ama kweli leo nimeamini kwanini Jay Z na Beyonce hawataki tena ukaribu wa Kanye na Kim.

Yaani kuna vidubwana vikiona vinaelekea kubuma viko tayari kukuchafua kwa namna yoyote vijiboost.

Pole sana Zari, alichobakiza Domo ni kusema aidha wewe msagaji au unashiriki mapenzi kinyume na maumbile.
 
Kila mtu anamuongelea yeye. Ndicho alichokitaka.
 
Kama aliweza kumkana mwanae mchana kweupe atashindwa kutunga story Kama hii.. ..diamond ni mshenz Sana kwenye mahusiano halafu ndio wa Kwanza ku play victim card

Yaani ile ya kumkataza mama yake asipost picha wala kuongea na wajukuu.. hadi bibi akafanya kwa siri kuanza kuwatafuta sababu ya kuwamisi.. ni duh!!!! leo kukutana na baba ake studio kajikanyaga.
 
Back
Top Bottom