Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

Hakuna mwanaume anayeweza kugombana na mwanamke akashinda..

Wanaume tumepewa uwezo wa kuvumilia na 'ku-absorb shocks' kwa yote magumu yanayotusibu, Bro's you can never win an argument with a woman..

Ulikuwa na mahusiano na mtu achana naye for good, move on and embrace your life...
 
Inauma hiyo na Tiffa siku hizi akisali ni thank you for my brothers, my mother and babaa. Lazima maumivu yazidi
Diamond alijua Zari atastruggle kuwamudu wale watoto peke yake akajua Zari lazima atajipendekeza tu Sasa imekuwa kinyume

Mwanamke yoyote anaweza kulea watoto 5 peke yake wakawa smart na health na shule wanaenda vizuri anapaswa kupongezwa Sana Ni wa kipekeee

Wanawake wengi huku mtaani wameachiwa utajiri na watoto lakini huwezi kuamini walivyolegea baada ya mwanaume kuondoka au kufa, Mali zote zinapukutika na watoto wanakosa malezi bora
 
Zari nilimjua kitambo enzi hizo nafuatilia East Africa showbiz.. alikuwa anatajwa kama socialite mwenye pesa zaidi EA ila kilichonishangaza ni kuonesha fancy cars na nyumba lakini hana historia ya kukuambia alivipataje zaidi ya kujihusisha na rich gang ya UG..

Hana tofauti na Vera maana wote ni socialites successful waliojua kutumia miili yao vizuri; hapa bongo hakuna socialites wenye pesa maana wengi elimu form four na zero exposure (hapa ndipo zari kawazidi haswa kwenye exposure)..
Mimi huwa nikiwaangalia hawa wanaosema ni role model huwa najiuliza ni kwenye nini ???... wabongo kwa shobo asee

Hivi mwanaume gani akuhonge magari ya kifahari yenye plate namba za jina lako kiasi kile?? Na majumba ya kifahari??

Mmesahau Kama ana zari all white party ambayo hufanya nchi nyingi??
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wanavyojuaga kumtetea na mauchafu yake kama anawalipa. Kweli mahaba upofu.
Kwaiyo tetesi za kusema diamond huwa analala na bi mkubwa wake Ni kweli?
Maana Ni za kitambo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndo inspiration anazowapa Diamond hizo?
Exactly, ukiwa na mindset ya kimasikini unaweza usibebe lolote yule ana mazuri mengi kuliko mabaya hivi ni celeb gani bongo ana mafanikio kama yake? Jib ni hakuna tufanye nini angalau tumfikie hata nusu jibu ni kufanya kazi kwa bidiii yule hata akifanya umbwiga mtamsema tu.

Kazaliwa familia ya kimaskini ila ana akili kama za watoto wakishua akili yangu ilikuwa imelala sana nikiona zinatosha kumbe bado natakiwa nijaze zaidi
 
Nishakufahamu wewe ni eidha mdangaji au umepanuka sana huko chini.

Relax uendelee kumfatilia Simba ufe vizuri na roho mbaya

Povu linajua kukutoka shabiki maandazi[emoji23] mlishazoea huyo mwakitombile adhalilishe wanawake tu sasa hivi amepata kiboko yake[emoji1476]
 
Kwaiyo
Wema
Hamisa
Uwoya
Hawa
Zari
Wanawake Hawa wote walikuwa wanamcheat yeye alikuwa muaminifu akawaacha?
Hapo labda Hawa ndiye mwanamke lakini hao wengine nikupiga nakutambaa,katika mademu wote aliodate nao Mondi ninayemkubali mmoja tu Menina,lakini wengine wote malaya tu .
 
Picha iliyozua mambo bwahahahahahahahaaa
57407394_896913930700365_1342087367102219951_n.jpg
 
Povu linajua kukutoka shabiki maandazi[emoji23] mlishazoea huyo mwakitombile adhalilishe wanawake tu sasa hivi amepata kiboko yake[emoji1476]
Damn she's a pig cunt zari hamuwezi muhuni yule.

Umesahau interview ya ZARI BBC alivyomsema mondi? Unakumbuka???
 
Hapo labda Hawa ndiye mwanamke lakini hao wengine nikupiga nakutambaa,katika mademu wote aliodate nao Mondi ninayemkubali mmoja tu Menina,lakini wengine wote malaya tu .
Mungu hakupi unachotaka Mungu anakupa unachostahili

Unaposema hao wanawake ni Mal.aya sio Diamond utamuitaje
 
Hivi kwa akili ya kawaida tu ya Bashite unamwamini Domo tena katika mazingira aliyoongea na muda kuhusu suala hilo ?
Kwa jinsi Zari alivyokuwa desperate wakati anakutana na Domo unadhani kweli alikuwa na mtu ?
Zari ni mtu wa social media na mapicha picha ndio maana mapicha yote ya kina Faruk na mcheza basket yapo, kwanini ya Peter yasiwepo.
Mimi namhurumia Peter na familia yake.
Namhurumia Zari na familia.
Domo ni shetani aliye tayari kufanya chochote au kusema chochote kuji-boost.
Kaona Tanasha na drama ya ndoa kaona hakuna mwenye time nayo, kaona amchafue Zari.
Domo ndo kwanza ana 30 yrs, mpaka anafikisha 32 nadhani atakuwa ashasema analiwa Tigo, anamla mama yake au mwanaye.
Maana siku hizi kazi zake haziendi kabisa bila madrama.
duh brother kwani una chuki na mshkaji?
 
Back
Top Bottom