Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Ila kale kademu kabovu aisee sasa kakizaa atafananaje!!
Habari ndo hiyo. Labda akaitoe. Huoni na sura imemvimba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari ndo hiyo. Labda akaitoe. Huoni na sura imemvimba
Kaombe kasinenepeane katakua kama furushiIla kale kademu kabovu aisee sasa kakizaa atafananaje!!
Heheh atakua kama wifi yake EsmaKaombe kasinenepeane katakua kama furushi
Endelea kutafuta saizi yako, mama. Mimi ni mtu mzima. Nalea wajukuu wangu.
Wifi anajitahidi kweli kujiedit atoke mwembamba maskiniHeheh atakua kama wifi yake Esma
ChaaaaaaaaaSasa unamfananisha Peter na Diamond? Peter kamzidi Diamond karibu kila kitu kuanzia pesa hadi umaarufu ila Diamond kamzidi Peter vitu vichache sana kamzidi umalaya na followers wa instagram tu
Wifi aliachwa na Petit man, Uswahili ulizidi.Wifi anajitahidi kweli kujiedit atoke mwembamba maskini
Hahahahaaaa.. fumba macho dogo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dada yangu Kumbe na wew wamo
Ile familia ina shida sana. Yani pamoja na hela na umaarufu ila uswahili umegoma kabisa kuwatoka.Wifi aliachwa na Petit man, Uswahili ulizidi.
Zari alileta uzungu wa ku interio design Madale. Amemaliza mwenyewe apumue anaambiwa bibi shush nyumba ni yangu hii.Ile familia ina shida sana. Yani pamoja na hela na umaarufu ila uswahili umegoma kabisa kuwatoka.
Wametoka tandale ila utandale haujawatoka bado
Kana ngozi mbaya mnoKaombe kasinenepeane katakua kama furushi
Alijua atamshika masikio Diamond kama ilivyokua kwa Ivan. Sasa pale ukidate na Diamond unadate na mama Diamond angewezaje kuwashika masikio watu wawili.Zari alileta uzungu wa ku interio designer Madale. Amemaliza mwenyewe apumue anaambiwa bibi shush nyumba ni yangu hii.
Kilichomuuma zaidi ni kuwa mtoto aliingilia kitanda kile kile anchotolea yeye ma styleKana ngozi mbaya mno
Kwenye hili namuona misa anavyochekelea tu kipindi kile nilimtetea humu na raynavero hebu mtag aje amsome bi tukinao kwanza
Aliniudhigi kutukana wanawake wenzie kisa kiboro cha domo kibenten halafu misa mtoto wa uswazi akampindua mpaka leo anahaha tu,,, kweli mwanamke jeuri mchukulie bwanake tu na kuzaa nae kabisa usistaduu wote kwishnei
Naona ukiachishwa kwenda gym kwa trainer wako 2022 hahahaha..nakupa pole mapema kabisaa hahahaEeh bwana. Katupa cha kuongea
Hamisa alimkomesha tukinao.Kana ngozi mbaya mno
Kwenye hili namuona misa anavyochekelea tu kipindi kile nilimtetea humu na raynavero hebu mtag aje amsome bi tukinao kwanza
Aliniudhigi kutukana wanawake wenzie kisa kiboro cha domo kibenten halafu misa mtoto wa uswazi akampindua mpaka leo anahaha tu,,, kweli mwanamke jeuri mchukulie bwanake tu na kuzaa nae kabisa usistaduu wote kwishnei
Labda kama unataka hiki kitambi kiendelee kushuka hata nikivaa shanga nikilala chali zisionekane sababu ya tumbo mume mtarajiwaNaona ukiachishwa kwenda gym kwa trainer wako 2022 hahahaha..nakupa pole mapema kabisaa hahaha
Anadate kibenten kipya asa hivi..anakigichaficha wee watu wakaki expose ..kijamaa kinavinjari kila siku kinabadili magari ya zari
Hahaha utafanyia nyumbanLabda kama unataka hiki kitambi kiendelee kushuka hata nikivaa shanga nikilala chali zisionekane sababu ya tumbo mume mtarajiwa
Kwanini Diamond anataka kupanda stegin na Latifa na si Nilani?