Diamond: Zari alikuwa anachepuka na Peter wa P Square

Kuna picha moja Zari alikuwa kwenye swimming pool na shemeji yake maji yakonyesha Kama ameshikwa kalio
Diamond alipaniki Hadi akaipost na maneno ya kuchukia baadae akaja kugungua picha ilipigwa na mke wa jamaa akaifuta post na kuomba msamaha

Alafu eti ndo akute amechitiwa live akae kimya? Sio mtu mwenye kaba yule lazima angeropoka
Hahahaha
 
Hivi ule msamaha wa clouds ulikuja baada ya jamaa kuchitiwa tena na wanaume wawil eeh
[emoji23][emoji23][emoji23]jamaa kajichanganya Sana
Nadhani kilimuuma Diamond Ni baada ya kusitisha kutoa matumizi ya watoto alitegemea Zari angereact kwa kupanic na kumbembeleza
Sasa miezi 3 hatumi hata Mia alafu mwenzie anaona fresh tu maisha yanaendelea na watoto Wako vizuri
Alichokifanya kaona hakikuleta impact aliokusudia na hio imemuuma sana
 
Hata mie nashangaa, kwahiyo nayeye ndiyo akaacha kuwapeleka nyumbani kwake mademu zake wanatushosha tu
Kuna picha moja Zari alikuwa kwenye swimming pool na shemeji yake maji yakonyesha Kama ameshikwa kalio
Diamond alipaniki Hadi akaipost na maneno ya kuchukia baadae akaja kugungua picha ilipigwa na mke wa jamaa akaifuta post na kuomba msamaha

Alafu eti ndo akute amechitiwa live akae kimya? Sio mtu mwenye kaba yule lazima angeropoka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila zari ana nyota jaman wakat yupo na mond kila mara tunaombwa tupige kura kwenye matuzo mbalimbali dunian but now zzzzzzz kimyaa jamaa akaona atoke na hii japo atrend
Watoto 5 lakini bado analipa, wakati wengine hata mmoja hakuna lakini hata wakutwambia sogea tuishi hakuna [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]jamaa kajichanganya Sana
Nadhani kilimuuma Diamond Ni baada ya kusitisha kutoa matumizi ya watoto alitegemea Zari angereact kwa kupanic na kumbembeleza
Sasa miezi 3 hatumi hata Mia alafu mwenzie anaona fresh tu maisha yanaendelea na watoto Wako vizuri
Alichokifanya kaona hakikuleta impact aliokusudia na hio imemuuma sana
Kazoea kurambwa miguu na kina hamisa wakimlilia shida zao safar hii kakutana na kisiki cha mpingo
 
Kaona kulipa watu instagram kumchafua Zari kumebuma, kaamua kumchafua mwenyewe. Eeeeeeh mbona hakumuacha kabla.. muongo sana huyo libaba.
ya ndani muwaachie wenyewe, sikilizeni then kaeni kimya. ukishakuwa ndani ya mahusiano mwanamke kugongwa hii ipo sana ila ni mara chache mnoo mwanaume anaweza kiri mke wake kugongwa nje maana itaonekana kuna madahifu mahala, kusema muongo ni kama vile unaamini huyo zari hawezi gongwa nje!!
 
nilichojifunza hapa kwa sasa watoto wake wanalishwa sumu balaa kama ambavyo yeye alilishwa na mama yake dhidi ya babayake.. anapaswa kujua true color of women
 
ya ndani muwaachie wenyewe, sikilizeni then kaeni kimya. ukishakuwa ndani ya mahusiano mwanamke kugongwa hii ipo sana ila ni mara chache mnoo mwanaume anaweza kiri mke wake kugongwa nje maana itaonekana kuna madahifu mahala, kusema muongo ni kama vile unaamini huyo zari hawezi gongwa nje!!

Zari kashasema wanaomuamini domo nao ni stupid kama alivyo domo.
 
Back
Top Bottom