lynne
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 897
- 1,182
HahahahaKuna picha moja Zari alikuwa kwenye swimming pool na shemeji yake maji yakonyesha Kama ameshikwa kalio
Diamond alipaniki Hadi akaipost na maneno ya kuchukia baadae akaja kugungua picha ilipigwa na mke wa jamaa akaifuta post na kuomba msamaha
Alafu eti ndo akute amechitiwa live akae kimya? Sio mtu mwenye kaba yule lazima angeropoka