sijakuelewa mkuu wangu,kwani ni yeye anakaribisha au ni sisi tunamkaribisha,mi naona anakaribishwa kama sisi tulivyokaribishwa.tofauti ni kwamba sisi hatukushangiliwa kama yeye.
oookay!sasa namuelewa Ama.kumbe!DDD memba tangu 2009 ila alidisappear kidogo ndio karudi.
Ila duh, naona hii thread inaelekea ndiko siko. Ngoja nitoke, niliingia kichwa kichwa
sijakuelewa mkuu wangu,kwani ni yeye anakaribisha au ni sisi tunamkaribisha,mi naona anakaribishwa kama sisi tulivyokaribishwa.tofauti ni kwamba sisi hatukushangiliwa kama yeye.
Duh, jina lako tu dada, nimelipenda.
Dabo diff inaweza kumudu mzigo mzito, hivyo basi kipindi cha harusi na kadhalika ungemudu walau kuchungulia humu dada.
Karibu tena. Nakutakia maisha mema ya ndoa. I hope umeolewa na Tipper tani 7
kuna jamaa kaomba ukamvute na dabodiff lakoHaha! hapana tipper la tani 7 haliniwezi mume wangu ni low loader 105kg.
sijakuelewa mkuu wangu,kwani ni yeye anakaribisha au ni sisi tunamkaribisha,mi naona anakaribishwa kama sisi tulivyokaribishwa.tofauti ni kwamba sisi hatukushangiliwa kama yeye.
kuna jamaa kaomba ukamvute na dabodiff lako
Karibu triple D,karibu ndani mamaa,mbona waishia sebuleni? Karibu hadi chumbani,jisikie uko kwako.
Hamia kwenye mtandao wangu wa kujiexpress hapo tu tutakuwa pamoja sana.Hapana chumbani siingii sebuleni panatosha.
DDD memba tangu 2009 ila alidisappear kidogo ndio karudi.
Ila duh, naona hii thread inaelekea ndiko siko. Ngoja nitoke, niliingia kichwa kichwa
unaonaje kama ofishale ukibadiri jina toka Pearl hadi jambo katikati ......maana limekupendeza sanammh umekuja kuwashiiiiiika,karibu bana mm naitwa jambo katikati na ww je?
Welcome back TripleD; we really missed you!Nimerudi upya jamvini wakuu si mnajua kupanga harusi,kuolewa, na kuanza maisha ya wawili ni shughuli kubwa.Sasa napata nafasi nitajumuika nanyi hapa.
Ahahaahaaaah! Kwa nini chini tu hutaki kuona kifua!Diana Dabo Diff fanya mpango uweke avatar yako, tena nitasuuzika zaidi kama itakuwa ni picha inayokuonyesha kuanzia maeneo ya kiunoni kushuka chini.