Diana-dabodiff ndani ya nyumba.

Diana-dabodiff ndani ya nyumba.

sijakuelewa mkuu wangu,kwani ni yeye anakaribisha au ni sisi tunamkaribisha,mi naona anakaribishwa kama sisi tulivyokaribishwa.tofauti ni kwamba sisi hatukushangiliwa kama yeye.

DDD memba tangu 2009 ila alidisappear kidogo ndio karudi.

Ila duh, naona hii thread inaelekea ndiko siko. Ngoja nitoke, niliingia kichwa kichwa
 
sijakuelewa mkuu wangu,kwani ni yeye anakaribisha au ni sisi tunamkaribisha,mi naona anakaribishwa kama sisi tulivyokaribishwa.tofauti ni kwamba sisi hatukushangiliwa kama yeye.

Nilikuwa namaanisha, DDD ni mwenyeji hapa kuliko wewe. Kabla hujachukua hatua moja mbele na kuanza kukaribisha mgeni, angalia kwanza join date yake.
 
Duh, jina lako tu dada, nimelipenda.

Dabo diff inaweza kumudu mzigo mzito, hivyo basi kipindi cha harusi na kadhalika ungemudu walau kuchungulia humu dada.

Karibu tena. Nakutakia maisha mema ya ndoa. I hope umeolewa na Tipper tani 7

Haha! hapana tipper la tani 7 haliniwezi mume wangu ni low loader 105kg.
 
sijakuelewa mkuu wangu,kwani ni yeye anakaribisha au ni sisi tunamkaribisha,mi naona anakaribishwa kama sisi tulivyokaribishwa.tofauti ni kwamba sisi hatukushangiliwa kama yeye.

Cheusimangala sijashangiliwa kama Diana ni hilo nickname ndio lilizua posts nyingi hizi lakini nikiangalia avatar yako naona hata wewe ni mwenzangu kwenye u-dabodiff.
 
DDD memba tangu 2009 ila alidisappear kidogo ndio karudi.

Ila duh, naona hii thread inaelekea ndiko siko. Ngoja nitoke, niliingia kichwa kichwa

Kama wewe unakimbia habu na mie mlango nilioingilia ndo nitoke hapo hapo ...
 
mmh umekuja kuwashiiiiiika,karibu bana mm naitwa jambo katikati na ww je?
 
Diana Dabo Diff fanya mpango uweke avatar yako, tena nitasuuzika zaidi kama itakuwa ni picha inayokuonyesha kuanzia maeneo ya kiunoni kushuka chini.
 
Doule Diif, triple D.... 🙂 can i be mshikaji wako wa karibu, napenda double diff, i mean jina lako
 
Karibu DOUBLE Diff.. Mburahati ni kubwa.. unaishi sehemu ipi?
 
Diana Dabo Diff fanya mpango uweke avatar yako, tena nitasuuzika zaidi kama itakuwa ni picha inayokuonyesha kuanzia maeneo ya kiunoni kushuka chini.
Ahahaahaaaah! Kwa nini chini tu hutaki kuona kifua!
 
Back
Top Bottom