Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Unataka kusema hata Chadema na akina Mbowe, Lissu ni mbwembwe tu?System inawachezea sana watu, unakuta huyu na PK lao Moja, wanacheza sinema ili sisi na mataifa ya nje tujidanganye kua Kuna democracy!!! Ni kama huku ccm, ikifika uchaguzi utaskia Kuna vyama vya upinzani sijui 13, kumbe vyama vya ccm tu hivo
Kwa Mbowe no doubt,yule Ni kada.Unataka kusema hata Chadema na akina Mbowe, Lissu ni mbwembwe tu?
Iron lady.....Kuna watu huwa wakiamini kitu huwa wanaamini mwanzo mwisho.
Dada lao ameamua kumchallenge Paul Kagame mara ya pili huku uchaguzi uliopita ulimuacha pabaya.
View attachment 3003704
Unajua political reconciliation? Kagame alishindwa kumuua huyo dada au anashindwa kumuua?Siasa gani wakati baba yake aliuwawa na familia yake kuporwa mali? Punguzeni ujuaji
Huyu sio classmate?All the best Binti
go dada go hii inatwaga dare for moreKuna watu huwa wakiamini kitu huwa wanaamini mwanzo mwisho.
Dada lao ameamua kumchallenge Paul Kagame mara ya pili huku uchaguzi uliopita ulimuacha pabaya.
View attachment 3003704
💙❤️Kuna watu huwa wakiamini kitu huwa wanaamini mwanzo mwisho.
Dada lao ameamua kumchallenge Paul Kagame mara ya pili huku uchaguzi uliopita ulimuacha pabaya.
View attachment 3003704
Hakuna wa kumuuangusha Kagame. Nadhani ni muda naye astaafu.Kagame ataangushwa na Wanawake wa Kinyarwanda
Mbona wagombea ni wengi tu. Halafu mfumo wa Rwanda ni tofauti kabisa.Kagame is smart. Anajaribu kuonyesha kuwa kuna competition.
Huenda zile chaguzi za zamani kweli alimnyoosha huyo binti, ila kwenye uchaguzi huu amemuona ni asset ya kujustify ushindi atakaojipa yeye mwenyewe
Amuue wa Nini? Kashammaliza kabisa kiuchumi, hana pa kwenda. Nikiri Baba yake aliuawa kwa ajali ya kutengeneza.Unajua political reconciliation? Kagame alishindwa kumuua huyo dada au anashindwa kumuua?
Ungefatilia mambo kwanza kuliko kuongea usilojua. Huyo Diane baba yake kauawa, Mali zake kafirisiwa kiuchumi, kakaa jela, picha zake za uchi kusambazwa Rwanda nzima. Kapitia mengi in real life dhidi ya Utawala.System inawachezea sana watu, unakuta huyu na PK lao Moja, wanacheza sinema ili sisi na mataifa ya nje tujidanganye kua Kuna democracy!!! Ni kama huku ccm, ikifika uchaguzi utaskia Kuna vyama vya upinzani sijui 13, kumbe vyama vya ccm tu hivo
Tulikuwepo, tupo na tunaendelea kuwepo. Hakuna sababu ya kuogopa kifo.She is so brave. Some people arent afraid of death
Mtakapogundua ni pandikizi la mamlaka hamtaamini.She is so brave. Some people arent afraid of death
Hii comment ni ya karne... Inafikia kipindi cha kupoteza iwapo lijitu limemuua baba na dada ako huwezi kucheka nalo lazima uli challenge kwenye battle yoyote.Ameshapoteza vingi nya muhimu.
Kwana Kgame ni nani?unazania RWanda hakuna wapinzani?;wapo sanayan umewaza kama mim. Huyu mama si wa kumchallenge pk
Aaaaaiiiseeee! Kila mtu ananishangaa hapa ninavyochekaWanasema bado anatakiwa kuthibitisha kwamba ana "sole nationality."
Athibitishe hana uraia pacha.
Azunguke na fomu dunia nzima wamgongee muhuri kwamba yeye sio raia wao, airudishe Rwanda.
Hapo ndio unapoona kichwa cha Mwafrika kina nerve cells zinazo misfire...
ndio, kwa saab unaanza anzaje ku prove kwamba wewe sio raia pacha ?Aaaaaiiiseeee! Kila mtu ananishangaa hapa ninavyocheka
Hii comment ni ya karne... Inafikia kipindi cha kupoteza iwapo lijitu limemuua baba na dada ako huwezi kucheka nalo lazima uli challenge kwenye battle yoyote.