Diara ashinda tuzo ya mchezaji Bora wa Mali kwa Africa

Mlinda mlango wa klabu ya Yanga SC Djigui Diara ametwaa tuzo ya mchezaj bora wa Afrika kwa msimu wa 2023\2024, katika tuzo zilizotolewa nchini Mali. Tuzo hizo maalum zilizotolewa nchini Mali ni kwa wachezaji wa nchini humo wanaocheza ndani ya Bara la Afrika

Diara amechukua tuzo hiyo akiwashinda wachezaji wenzake, Sadio Kanute, Fily Traore, Aliou Dieng na Abdoulaye kanou waliokuwa wakiwania tuzo hiyo. Tuzo hizo maalum hutolewa kwa wachezaji wanaofanya vizuri katika msimu husika.

Ni kweli Diara amestahili tuzo hiyo?

View attachment 3004352
Wakati TFF mchezaji bora wa mwaka huu 2024,atapatikana mwakani 2025, duu TFF bana watakuwa kuna wazee ambao hawataki kwenda na wakati
 
Mlinda mlango wa klabu ya Yanga SC Djigui Diara ametwaa tuzo ya mchezaj bora wa Afrika kwa msimu wa 2023\2024, katika tuzo zilizotolewa nchini Mali. Tuzo hizo maalum zilizotolewa nchini Mali ni kwa wachezaji wa nchini humo wanaocheza ndani ya Bara la Afrika

Diara amechukua tuzo hiyo akiwashinda wachezaji wenzake, Sadio Kanute, Fily Traore, Aliou Dieng na Abdoulaye kanou waliokuwa wakiwania tuzo hiyo. Tuzo hizo maalum hutolewa kwa wachezaji wanaofanya vizuri katika msimu husika.

Ni kweli Diara amestahili tuzo hiyo?

View attachment 3004352
Kipa Bora sana huyu 💚💚💚💚
 
Back
Top Bottom