Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamani watu khaaahUfaransa ya KIBAHA
Hiko kimo ndio kinamfanya anasota kusini mwa jangwa la saharaNafuatilia game ya South Africa na Mali, kiukweli huu uwezo wa huyu kipa wa Mali si wa kawaida, Nina hakika huu ndio msimu wake wa mwisho kuchezea Yanga .
Namtakia kila la heri huko aendako
Hatimaye Mikoba yake kuchukuliwa na Msheri
Upo sahihi mkuu. Na naamini hatutoandamana tar 24 1[emoji1]Nafuatilia game ya South Africa na Mali, kiukweli huu uwezo wa huyu kipa wa Mali si wa kawaida, Nina hakika huu ndio msimu wake wa mwisho kuchezea Yanga .
Namtakia kila la heri huko aendako
Hatimaye Mikoba yake kuchukuliwa na Msheri
Hakika kwa hizi mechi za afcon Diarra atanunuliwaNafuatilia game ya South Africa na Mali, kiukweli huu uwezo wa huyu kipa wa Mali si wa kawaida, Nina hakika huu ndio msimu wake wa mwisho kuchezea Yanga .
Namtakia kila la heri huko aendako
Hatimaye Mikoba yake kuchukuliwa na Msheri
Huyu akienda Ulaya itakuwa ya Onana wa Maniyuuuu MECHI 4 goli 15Nafuatilia game ya South Africa na Mali, kiukweli huu uwezo wa huyu kipa wa Mali si wa kawaida, Nina hakika huu ndio msimu wake wa mwisho kuchezea Yanga .
Namtakia kila la heri huko aendako
Hatimaye Mikoba yake kuchukuliwa na Msheri
Kitu usichokijua golikipa anakua Bora Sana kadri umri wake unavosonga so Kwa hiyo miaka 28 anaenda vizuri tuUlaya hawasajili mchezaji mwenye umri wa miaka 30 kutoka Africa.
Kwenye makaratasi ana miaka 28, huyo atulie hana tena nafasi ulaya.
Kibaya kingine kwake, nchi za waarabu hawasajili nafasi za golini mtu asiyetokea mataifa yao na hiyo ni moja ya kanuni zao.
Nitajie golikipa aliyesajiliwa ulaya tokea Africa akiwa na miaka 28 au zaidi.Kitu usichokijua golikipa anakua Bora Sana kadri umri wake unavosonga so Kwa hiyo miaka 28 anaenda vizuri tu
Changamoto atakayokutana nayo diara kwenda nje ya afrika ni kama ile aliyokutana nayo Juma K JumaKitu usichokijua golikipa anakua Bora Sana kadri umri wake unavosonga so Kwa hiyo miaka 28 anaenda vizuri tu
Misemo ya namna hii embu waachie wanawake mkuu.Bado hujasema