Diarra hapaswi kucheza Yanga, aende Ufaransa

Diarra hapaswi kucheza Yanga, aende Ufaransa

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Nafuatilia game ya South Africa na Mali, kiukweli huu uwezo wa huyu kipa wa Mali si wa kawaida, Nina hakika huu ndio msimu wake wa mwisho kuchezea Yanga.

Namtakia kila la heri huko aendako

Hatimaye Mikoba yake kuchukuliwa na Msheri

1705448219082.jpeg
 
Nafuatilia game ya South Africa na Mali, kiukweli huu uwezo wa huyu kipa wa Mali si wa kawaida, Nina hakika huu ndio msimu wake wa mwisho kuchezea Yanga .

Namtakia kila la heri huko aendako

Hatimaye Mikoba yake kuchukuliwa na Msheri
Upo sahihi mkuu. Na naamini hatutoandamana tar 24 1[emoji1]

Sent from my SM-G998U using JamiiForums mobile app
 
Nafuatilia game ya South Africa na Mali, kiukweli huu uwezo wa huyu kipa wa Mali si wa kawaida, Nina hakika huu ndio msimu wake wa mwisho kuchezea Yanga .

Namtakia kila la heri huko aendako

Hatimaye Mikoba yake kuchukuliwa na Msheri

Huyu akienda Ulaya itakuwa ya Onana wa Maniyuuuu MECHI 4 goli 15
 
Ulaya hawasajili mchezaji mwenye umri wa miaka 30 kutoka Africa.

Kwenye makaratasi ana miaka 28, huyo atulie hana tena nafasi ulaya.

Kibaya kingine kwake, nchi za waarabu hawasajili nafasi za golini mtu asiyetokea mataifa yao na hiyo ni moja ya kanuni zao.
 
Kitu usichokijua golikipa anakua Bora Sana kadri umri wake unavosonga so Kwa hiyo miaka 28 anaenda vizuri tu
 
Jana nilijua kabisa kuwa Mali atapigwa vibaya mno,aiseh kumbe nlkuwa cjuwi kuwa majamaa Wanawachezaji wazuri sana tena wakimataifa,nikawa najiuliza mbona kanute hajaitwa? Duh kuja kucheki viungo wa Mali nikasema halali aiseh,Yan pale katikati mchezaji wao mdogo eti ndio yupo Al Ahly
 
Back
Top Bottom