Diarra hapaswi kucheza Yanga, aende Ufaransa

Kwa hii statement yako inaonyesha umeanza kushabikia mpira juzi
Kama ungefuatilia tokea zaman usingewachukulia poa mali
 
Kwa hiyo Edward Mendy ni anatokea Saudi Arabia kumbe?
 
Sasa Ufaransa ni waarabu?
 
Na kikosi kilichoanza wawili ndio wanacheza Afrika
 
Kitu usichokijua golikipa anakua Bora Sana kadri umri wake unavosonga so Kwa hiyo miaka 28 anaenda vizuri tu
Hvi Mendy ana umri gani
Samahani mkuu hvi Mendy yule golikipa wa Senegal sasa hvi anafanya kazi wapi.....?
 
Una mzaha sana, Mali ndio timu ya taifa yenye wachezaji wengi zile ligi 5 barani Ulaya ndani ya Afcon hii yaani EPL, Bundesliga, La Liga, Serie A pamoja na Ligue 1. Diarra na golikipa #3 Aboubacar Doumbia ndio wachezaji pekee kutoka bara la Afrika ndani ya Mali.

Watu wengi tulifahamu fika SA watakaa sana na mpira ila ubao utasomeka tofauti na possesion yao. Huwezi kushinda mechi ngumu dhidi ya timu kama Mali yenye wachezaji wengi ligi kubwa barani Ulaya halafu unamtemegea Percy Tau akubebe.
 
Mamaaaa kweli nlkuwa cwajuwi hawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…