Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hii statement yako inaonyesha umeanza kushabikia mpira juziJana nilijua kabisa kuwa Mali atapigwa vibaya mno,aiseh kumbe nlkuwa cjuwi kuwa majamaa Wanawachezaji wazuri sana tena wakimataifa,nikawa najiuliza mbona kanute hajaitwa? Duh kuja kucheki viungo wa Mali nikasema halali aiseh,Yan pale katikati mchezaji wao mdogo eti ndio yupo Al Ahly
Kweli mkuu,nilikuwa nawachukulia poa sanaKwa hii statement yako inaonyesha umeanza kushabikia mpira juzi
Kama ungefuatilia tokea zaman usingewachukulia poa mali
Kama za manulaKwa save zipi sasa
LEO TUNAFUNGWA NA MOROCO KWA SABABU YA UTAWALA MBOVU WA CCM.Upo sahihi mkuu. Na naamini hatutoandamana tar 24 1[emoji1]
Sent from my SM-G998U using JamiiForums mobile app
Kwa hiyo Edward Mendy ni anatokea Saudi Arabia kumbe?Ulaya hawasajili mchezaji mwenye umri wa miaka 30 kutoka Africa.
Kwenye makaratasi ana miaka 28, huyo atulie hana tena nafasi ulaya.
Kibaya kingine kwake, nchi za waarabu hawasajili nafasi za golini mtu asiyetokea mataifa yao na hiyo ni moja ya kanuni zao.
Anakuja Manchester UnitedNafuatilia game ya South Africa na Mali, kiukweli huu uwezo wa huyu kipa wa Mali si wa kawaida, Nina hakika huu ndio msimu wake wa mwisho kuchezea Yanga.
Namtakia kila la heri huko aendako
Hatimaye Mikoba yake kuchukuliwa na Msheri
Sasa Ufaransa ni waarabu?Ulaya hawasajili mchezaji mwenye umri wa miaka 30 kutoka Africa.
Kwenye makaratasi ana miaka 28, huyo atulie hana tena nafasi ulaya.
Kibaya kingine kwake, nchi za waarabu hawasajili nafasi za golini mtu asiyetokea mataifa yao na hiyo ni moja ya kanuni zao.
Wanawake na watoto wa facebookMisemo ya namna hii embu waachie wanawake mkuu.
Na kikosi kilichoanza wawili ndio wanacheza AfrikaJana nilijua kabisa kuwa Mali atapigwa vibaya mno,aiseh kumbe nlkuwa cjuwi kuwa majamaa Wanawachezaji wazuri sana tena wakimataifa,nikawa najiuliza mbona kanute hajaitwa? Duh kuja kucheki viungo wa Mali nikasema halali aiseh,Yan pale katikati mchezaji wao mdogo eti ndio yupo Al Ahly
Eeh kumbe co mchezoNa kikosi kilichoanza wawili ndio wanacheza Afrika
Onana ana kimo gani...ni mfupi kuliko hata diarra.....Hiko kimo ndio kinamfanya anasota kusini mwa jangwa la sahara
Hvi Mendy ana umri ganiKitu usichokijua golikipa anakua Bora Sana kadri umri wake unavosonga so Kwa hiyo miaka 28 anaenda vizuri tu
Samahani mkuu hvi Mendy yule golikipa wa Senegal sasa hvi anafanya kazi wapi.....?Ulaya hawasajili mchezaji mwenye umri wa miaka 30 kutoka Africa.
Kwenye makaratasi ana miaka 28, huyo atulie hana tena nafasi ulaya.
Kibaya kingine kwake, nchi za waarabu hawasajili nafasi za golini mtu asiyetokea mataifa yao na hiyo ni moja ya kanuni zao.
Una mzaha sana, Mali ndio timu ya taifa yenye wachezaji wengi zile ligi 5 barani Ulaya ndani ya Afcon hii yaani EPL, Bundesliga, La Liga, Serie A pamoja na Ligue 1. Diarra na golikipa #3 Aboubacar Doumbia ndio wachezaji pekee kutoka bara la Afrika ndani ya Mali.Jana nilijua kabisa kuwa Mali atapigwa vibaya mno,aiseh kumbe nlkuwa cjuwi kuwa majamaa Wanawachezaji wazuri sana tena wakimataifa,nikawa najiuliza mbona kanute hajaitwa? Duh kuja kucheki viungo wa Mali nikasema halali aiseh,Yan pale katikati mchezaji wao mdogo eti ndio yupo Al Ahly
Mamaaaa kweli nlkuwa cwajuwi hawaUna mzaha sana, Mali ndio timu ya taifa yenye wachezaji wengi zile ligi 5 barani Ulaya ndani ya Afcon hii yaani EPL, Bundesliga, La Liga, Serie A pamoja na Ligue 1. Diarra na golikipa #3 Aboubacar Doumbia ndio wachezaji pekee kutoka bara la Afrika ndani ya Mali.
Watu wengi tulifahamu fika SA watakaa sana na mpira ila ubao utasomeka tofauti na possesion yao. Huwezi kushinda mechi ngumu dhidi ya timu kama Mali yenye wachezaji wengi ligi kubwa barani Ulaya halafu unamtemegea Percy Tau akubebe.
Naomba uniletee heights za Iker Casllas na Fabien Bartez tufunge huu mjadala
Umeanza habari za kina KazumariHiko kimo ndio kinamfanya anasota kusini mwa jangwa la sahara