Mendy aliwahi kucheza timu yoyote ya Africa?.Hvi Mendy ana umri gani
Samahani mkuu hvi Mendy yule golikipa wa Senegal sasa hvi anafanya kazi wapi.....?
World class goal keepers uje ufananishe na Diarra?Naomba uniletee heights za Iker Casllas na Fabien Bartez tufunge huu mjadala
Alitokea timu ipi ya Afrika kabla ya kwenda Uarabuni?.Sasa Ufaransa ni waarabu?
Mkuu samahani kama hutojali hebu rejea comment yako aya ya mwisho.Mendy aliwahi kucheza timu yoyote ya Africa?.
Mendy amezaliwa France, kwa sasa ana miaka 31, amecheza timu za Ufaransa kabla ya kuhamia Chelsea na hatimaye kwenda Uarabuni.
Swali langu lilisema, ni golikipa yupi ambaye ana miaka 28+ aliyekuwa anacheza timu za Africa aliyewahi sajiliwa ulaya?.
Huyo Mendy alikuwa anacheza timu ipi ya Africa kabla ya kwenda Uarabuni?.Kwa hiyo Edward Mendy ni anatokea Saudi Arabia kumbe?
Acha kufikiri kama kuku asiye na kichwaMisemo ya namna hii embu waachie wanawake mkuu.
Hao jamaa wanafikiri ulaya wanaweza sajili kipa mbilikimo,Never
Hata yeye ni demu kwahy acha kumtoa kwenye jinsia yake.Misemo ya namna hii embu waachie wanawake mkuu.
Diarra 1.79mNaomba uniletee heights za Iker Casllas na Fabien Bartez tufunge huu mjadala
Juma k Juma alikua kwenye level gani compare to Diara? Kwa sababu Juma K Juma aling'ara zaidi kwenye ligi yetu....Changamoto atakayokutana nayo diara kwenda nje ya afrika ni kama ile aliyokutana nayo Juma K Juma
Kwanini? Ebu prove hii kama mtu wa mpira bro?Hiko kimo ndio kinamfanya anasota kusini mwa jangwa la sahara
Kaka kwa kimo cha diara ni ngumu sana kupata timu ulaya, sisemi haiwezekani ila ni ngumu sanaJuma k Juma alikua kwenye level gani compare to Diara? Kwa sababu Juma K Juma aling'ara zaidi kwenye ligi yetu....
Lakini outside hakuwahi kutisha Sana Diara anaonekana kwenye michuano mikubwa Africa..
Diara amekua nominated kwenye magolikipa 10 Bora Africa, sahivi yupo na timu ya Taifa ya Mali yenye mastaa kibao Hadi magolikipa wenza wanacheza ulaya lakini Diara katoboa...
Ulaya na nchi zilizoendelea kisoka zinataka magolikipa warefu. Tafuta ulaya kama kuna timu ina kipa mwenye urefu sawa na diaraKwanini? Ebu prove hii kama mtu wa mpira bro?
Huu ndio ukweli ila ni ngumu sana washabiki wa yanga kukuelewaKwa sasa ulaya nzima hakuna golikipa mfupi chini ya 1.8m sasa huyo Diarra mwenye 1.79m huko ulaya ataenda kudaka ligi gani? Hivi unafikiri kuna timu inapenda kuruhusu goli 50+ kwa msimu mmoja?
Diarra ataendelea kudaka hapahapa miaka yote na sio Ulaya tu hata top clubs tu za hapa Africa haziwezi kumuwazia kwanza nimewashangaa Mali kumuamini golikipa mfupi kwenye michuano mikubwa kama hii
Nini logic behind? Useful una endana vipi na uchezaji? Mnata ni mrefu zaidi ya Diarra, je kwanini Diara ni bora zaidi ya Mnata? Hamna hoja katika hilo.Ulaya na nchi zilizoendelea kisoka zinataka magolikipa warefu. Tafuta ulaya kama kuna timu ina kipa mwenye urefu sawa na diara
Wanahisi tunaongea kishabiki labda au chuki ila tunachosema ndio uhalisia wa mpira ulivyo kwa sasa ulaya yote na hata duniani tuHuu ndio ukweli ila ni ngumu sana washabiki wa yanga kukuelewa
Aliwezaje kua word class na height hio maana hoja yako ni height? Hao makipa nlio wataja wamecheza NBC?World class goal keepers uje ufananishe na Diarra?
Endelea kutazama NBC PL
Wewe unasema hatuna hoja lakini hujiulizi kwanini ulaya hawachukui makipa wenye vimo sawa na diara? Unaamini diara ndio kipa wa kwanza mwenye kimo kile? Kwanini ulaya huwakuti kwenye ligi zote unazozijua wewe?Nini logic behind? Useful una endana vipi na uchezaji? Mnata ni mrefu zaidi ya Diarra, je kwanini Diara ni bora zaidi ya Mnata? Hamna hoja katika hilo.
Acha kujificha kwa Cassilas nmekupa mifano ws makipa watatu Bartez, Jordi Masip tena yeye ana 179cm same to Tobias Sippel mmoja yupo Spain Laliga mwingine yupo BundesligaDiarra 1.79m
Barthez 1.8m
Iker Cassilas 1.82m
Nani mfupi hapo kuliko wenzake??