Diarra: Niliuwazia sana ushindi hii mechi

Diarra: Niliuwazia sana ushindi hii mechi

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
Diarra alifika DSM masaa 3 kabla ya mechi ya Derby

"Rais alinitengenezea mazingira mazuri ya usafiri, sikuchoka na nilipata tiketi ya Business Class

Nilivyotua Airport alituma mtu anifuate ili niwahi moja kwa moja uwanjani, Kama kuna siku niliuwazia ushindi basi ni siku ile"

IMG_1627.jpeg
 
Engineer yupo vizuri katika kuhudumia wachezaji kwa msaada wa GSM. Yupo makini sana na kazi yake.
 
Sisi ndiyo Simba SC AKA;

1. Makolokolo SC.
2. Mbumbumbu SC.
3. Mipang'ang'a SC.
4. Malalamiko (Lialia) SC.
5. Makelele SC.
6. Madunduka SC.
7. Manyaunyau (mapaka) SC.
8. Mwakarobo SC.
9. Mikia SC.
10. Miso Misonda SC.
11. Manyang'au SC.
12. Mazumbukuku SC.
13. Mazombi SC.
14. Kinyume nyume SC.
15. Ngada SC.
16. Kolowizard SC
17. Zuwena SC.
18. Bebwabebwa (Mbeleko) SC.
19. Panya roads SC.
20. Kikanuni SC.
21. Kufa Kiume SC
22. Ubaya ubwege SC.
JamiiForums1222824732.jpeg
 
Back
Top Bottom