Diaspora Hawatoi connection?


Kwani sehemu ya kufikia ni Chicago tu? Ndo maana tunasema wabongo mnawaza step 9 wakati hata step 1 hujapita, wewe pambana na visa sehemu za kufikia sio Chicago tu, USA kubwa sana. Huwezi badili plan yako kisa gang violence in Chicago unless kama hukuwa motivated to begin with.
 

Word.
 

Mkuu asante. Hawa watu wagumu sana kuelewa sijui wanataka wasaidiwaje, kwani sisi tulifikaje tena kipindi hicho? Smh
 

Although GC ni bahati nasibu wakenya wanaocheza ni mara 5 zaidi ya wabongo unadhani kwanini? Wana uthubutu.

Mbongo ukimwambi kuna GC lottery anataka umnunulie bundle acheze na hata ukinunu hilo bundle hachezi. Hamna uthubutu

Mtalalamika all you can ila hamna uthubutu mmejaa lawama tu. Hata upewe connection ya mbinguni kama huna uthubutu hutaenda.
 

Nani alishinda GC akakosa host, nitajie mmoja tu? Story za vijiweni hizi.
 
Ndugu usijichoshe sana kujibishana na mtu jibu tayari linajulikana wabongo wazinguaji kwenye kutoa connection za majuu kama siyo uchoyo basi tunaogopana labda.

Unataka connection zaidi mzee? Nikutafutie chuo au kazi? Hata nikikutafutia hivyo kama huna uthubutu n kazi bure.

Wakenya wanaocheza green card ni mara 5 zaidi ya wabongo sababu ya uthubutu wao.
 

👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
 

Nilimwambia atoe ushahidi wa mimi kuwasiliana nae kabla ya leo kaishia kuranda randa tu na kubwabwaja nonsense.

Hivi kuna visa special ya mashoga? Mambo mengine ni uzwazwa hata kuyawaza tu, they don't add up.
 
Wana wanaishi kininja sometimes😂😂😂 USA sema ukitusua basi umetusua kweli.Lakini serikali ya USA inazingua sana kuhusu kutuma hela nyumbani,process ndeefu sana.

Hizi story mnatoa wapi? Kuna apps zaidi ya 100 za kutuma hela bongo form NALA ya mbongo kabisa, Sendwave, worldremmit, remitly, WE, moneygram, bank2bank (wire transfer). Hamna usumbufu wowote, I wonder hizi story mnazitoaga wapi ndo maana nasema mnasikiliza sana story za vijiweni na hamna uthubutu.
 
Em niambie zaidi kuhusu NALA, ushawahi itumia?
Process za kujisajili na kutuma hela, rates zao, usalama na kufika kwa wakati..
Ipo vipi
 
Em niambie zaidi kuhusu NALA, ushawahi itumia?
Process za kujisajili na kutuma hela, rates zao, usalama na kufika kwa wakati..
Ipo vipi

Sijawahi kutumia NALA ila I believe itakua on the same spectrum kama washindani wake in terms of security na a competitive rate.

Natumia sendwave na remitly kila siku I mean kila siku ya Mungu, hela inainga bongo in your mobile wallet instantly, no issues whatsoever. Sasa huyu Nelson Jacob lushasi anayesema kutuma hela bongo kutoka US ni kazi hizi story anazitoa wapi? Watu wanasikiliza sana story za vijiweni.
 
Huko ndiko nina mwenyeji mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…