Bufa
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 12,599
- 26,263
- Thread starter
- #161
Bongo kutamu mzee baada ya Bi mkubwa kuchukua kitengo magogoni😂🤣🤣🤣🤣 kidogo kuna ahueni.Nilikua na mpango wa kwenda Chicago kule southside Parkway gardens 6400 blocks (WIIIC City)kwenye zile project now days wanaziita O block nikaanzie aharakati huko ila mwenyeji wangu ambae ni raia wa marekani kanitisha kwa kuniambia ukweli kuhusu gang,s violence eneo analoishi ambalo mimi nitafikia kwake kukaa nikaghairi kwa mda mipango yote mkuu.
Kwani sehemu ya kufikia ni Chicago tu? Ndo maana tunasema wabongo mnawaza step 9 wakati hata step 1 hujapita, wewe pambana na visa sehemu za kufikia sio Chicago tu, USA kubwa sana. Huwezi badili plan yako kisa gang violence in Chicago unless kama hukuwa motivated to begin with.