Nyuki Mdogo
JF-Expert Member
- Oct 31, 2021
- 4,134
- 10,644
Nataka kwenda Marekani nikamuone King Jordan 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpango wa kusoma masters ukimaliza ndo unatafuta kazi kupitia kile cheti cha masters cha kule na sio hiki cha tanzania ni moja ya njia rahisi sanaKwanza inabidi uchague nchi unayotaka kwenda.
Pili, chagua njia unayotaka kutumia kufika huko ambayo itakua rahisi kwako. Kwa vijana njia rahisi zaidi ni shule.
Kama una degree omba kufanya masters. Ni rahisi kupata scholarships kwa masters programs kuliko undergrad.
Kama mpango wako ni kuzamia then huhitaji hata hiyo scholarship, apply chuo, visa na nauli zote ni GHARAMA ZAKO. Ukifika unaingia mtaani. Kazi na malazi utapata tu.
Shukrani mkuu kwa feedbackMkuu simjui mtu AUS. Jaribu kuulizia watu wako wa karibu ila nasikia ni nchi nzuri.
,,.Wabongo mlio majuu hamna upendo mnajigawa,..,Fid Q aliwahi kuwachana wabongo waliopo majuu.
Yaani nimeamini depression is real...mkeo kazi anayoHaina haja mkuu lkn ukwel ndo huo weka moyoni.omba na Mimi nisifanikiwe ktk life kama ww, nitakutafuta hata nikikukosa nitamtafuta mtoto wako nimsaidie
😂😂😂 atakuwa kakufananishaHapo sasa. Nimemwambia aonyeshe risiti ya mawasiliano yangu na yeye kabla ya Leo hana. Anazunguka zunguka tu, nimemu-ignore.
Maisha ni kupambana tuBro europe life ni tamu kaz zipo sijaadithiwa na mtu uwe mchapa kaz tu mi nmerud bongo lakini najuta why nilirud sema tu ni my parents wish lakini Europe asikuambie mtu kugumu sema tu gumu kama we mvivu
Are you fixed kwa AUS tu au hata nchi zingine?
Well spokenNaandika huu uzi baada ya kusoma na kusikia mara kadhaa kwamba diaspora wabongo hawatoi connection za kwenda nje compared to diaspora wa nchi kama Kenya, Nigeria nk. Mimi kama diaspora napinga hii notion vikali.
Hapa JF Kuna nyuzi zaidi ya 100 zinazojadili jinsi ya kwenda nje, a quick search mtu unapata majibu yote na bado watu tunachangia nyuzi kila leo. Mnataka connection gani zaidi?
EBM anatoa free knowledge on YouTube na bloggers wengine jinsi ya kwenda nje, hiyo sio connection? Tuwape bundle za kuingia youtube au?
Mimi binafsi nimeshirikiana na watu kadhaa toka kwenye forum hii hii toka walipoanza harakati zao za kwenda nje na sasa wapo mbele needless to say walifanya sehemu zao na mambo yao yakafanikiwa. Sasa urafiki umekua undugu. Tatizo ndugu zangu wamatumbi mnapotaka connection mnataka hao diaspora wawape hadi hela na passport wawatafutie. You have to play your part as well.
Kimsingi kwenda nje is as easy as ABC. Kupata connection ni vizuri but isn't everything. Mimi nilienda bila connection yeyote ile, maelezo yote yapo kwenye websites za nchi husika ila ni lazima uwe tayari kufanya sehemu yako pia, kuna watu wanadhani diaspora wana a magic code ya kwenda nje this couldn't be further from the truth. Ni lazima uwe tayari kufanya sehemu yako.
Wabongo wenzangu punguzeni kulalamika kiboya, JF Kuna more than 100 threads, YouTube ipo, website za nchi husika zipo, tunajitoa as much as we can but we can only do so much. Maisha yako ni jukumu lako, kusaidiana kupo ila sio wajibu.
Nipo around mazee.
Aah mwalimu mpwayungu village naona leo umetema point. Vipi na wewe ulijaribu kupaa mbele ukaletewa figisu sio.Connection inayotakiwa ni wewe akija umpe hifadhi naumsaidie kutafuta kazi na apate viza ya mda mrefu aachane na mambo ya kurenuew viza kila wakati
Sasa nyie mnamwambia tu nauli mpaka Marekani ni million Tatu basi, sasa kujua bei ya nauli ni connection? Acheni uhuni bhana mna Roho mbaya tu
Endelea kujifariji kama inakupa nafuu.Pagumu sana hali inatisha wengi wao abroad maisha wanabangaiza kwa hiyo hawana cha kukuambia au kukumotivate
Endelea kumuabudu tu huyo uliyemtag,inaonekana na wewe ni miongoni mwa aliowachota akili kwa story zake zakufikirika za kishirikina,Wabongo hawezi kukusaidia ukimtoa. Mshana Jr watz waliobaki Mimi naona bado hawana utu.
wabongo kwenye kusaidiana bado sana mfano mtu ana kila kitu passport,nauli na hela ya kujikimu akiwa mfano marekani kupata mchongo wa kwenda mbele inakua mziki wakati kuna mwaliko tena mtu anaweza kukulipa kidogo kufidia muda wako,kuna internship tunaweza kuonganishiana ata kwa malipo siyo mbaya au kusaidiana link ya vyuo vya bei nafuu kabisa ila kwa mbongo hapo kipengele kukupa mwongozo tuna ogopana sana.