Diaspora kujenga daraja kutoka Dar es Salaam mpaka Zanzibar ilikuwa ahadi ya uongo?

Diaspora kujenga daraja kutoka Dar es Salaam mpaka Zanzibar ilikuwa ahadi ya uongo?

Kuna nyingine ya kiwanja kikubwa cha Mpira wa miguu kujengewa Dodoma kwa Ufadhili wa serikali ya Morroco mpk leo kimya
 
Hii haikuwa kamba nadhani unajua kuna tarehe fulani ilibadili mielekeo ya vitu vingi hapa nchini
Kwa hiyo huu mradi uko hatua gani labda utujuze mdau
 
RAIS WETU SAMIA ALIFANYE HILI PEKEE KAMA ZAWADI YAKE KWA WATANZANIA NAMSHAURI AFANYE MRADI HUU MMOJA MKUBWA PEKEE NA SI KUANZISHA UTITIRI WA MIRADI INAYOKUJA KUWAPA SHIDA WATANZANIA.
 
Haikuwa uongo, walipanga kwa kushirikiana na mwekwezaji toka misri. Janga la corona lilisababisha mradi kutofanyika, kuna sehemu toka tegeta hadi Zanzibar in km 32 tu.
 
Hao madiaspora hawana inshu muda wote wanapiga stori club house, wanasumbuliwa na upweke na kazi za hovyo
 
Back
Top Bottom