Diaspora Leteni Fursa Tanzania,Serikali itawaunga Mkono” - Balozi Kombo

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Diaspora Leteni Fursa Tanzania,Serikali itawaunga Mkono” - Balozi Kombo

Watanzania Waishio Ughaibuni wamehimizwa kuchangamkia fursa zilizoko katika maeneo yao na Serikali itawaunga mkono pale inapohitajika.

Hayo yamesemwa kwa njia ya Mtandao na Balozi Mahmoud Thabit Kombo,(Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki alipofungua Mafunzo ya Ujasiriamali na Uendeshaji wa Biashara ya Kimataifa kwa Watanzania waishio nchini Comoro yaliyoanza leo nchini humo.

Balozi Kombo aliwaeleza Watanzania hao kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan iko karibu zaidi na Diaspora kuliko Awamu yeyote iliyopita ambapo Sera ya Mambo ya Nje inawatambua rasmi na hivi karibuni utaratibu wa Hadhi Maalum utafikua tamati kwa faida yao.

Awali Balozi wa Tanzania nchini Comoro alimueleza Mheshimiwa Waziri Balozi Kombo kuwa biashara ya Comoro na Tanzania hivi sasa iko takriban shilingi bilioni 148 kwa mwaka ambayo ni takriban shilingi milioni 405 kwa siku na imekuwa ikiongezeka. Hata hivyo mchango halisi wa ushirikiano wa Tanzania na Comoro ni takriban shilingi bilioni 500 kwa mwaka ukichanganya sekta zote ikiwemo Huduma.

Mafunzo hayo yanaendeshwa na Chuo cha Uhasibu Arusha ambapo wakufunzi watatu wapo nchini Comoro ambapo Mkuu wa Chuo hicho Profesa Eliamani Sedoyeka alieleza kuwa wakufunzi hao watafundisha Utengenezaji wa Mpango wa Biashara,Uendeshaji wa Biashara ya Kimataifa,Namna ya kukabiliana na Vihatarishi katika Biashara na Utunzaji wa Mahesabu.

Hafla hiyo ya Ufunguzi ilihudhuriwa pia na Mkuu wa Kitengo cha Diaspora Wizara ya Mambo ya Nje,Salvatory Mbilinyi.

Mafunzo hayo yatafanyika kwa siku tatu.
 
Attachments

  • IMG-20250314-WA0050.jpg
    IMG-20250314-WA0050.jpg
    64 KB · Views: 1
  • IMG-20250314-WA0040.jpg
    IMG-20250314-WA0040.jpg
    699.4 KB · Views: 1
  • IMG-20250314-WA0049.jpg
    IMG-20250314-WA0049.jpg
    798.7 KB · Views: 1
  • IMG-20250314-WA0045.jpg
    IMG-20250314-WA0045.jpg
    755.4 KB · Views: 1
  • IMG-20250314-WA0043.jpg
    IMG-20250314-WA0043.jpg
    903 KB · Views: 1
  • IMG-20250314-WA0042.jpg
    IMG-20250314-WA0042.jpg
    722.2 KB · Views: 1
  • IMG-20250314-WA0048.jpg
    IMG-20250314-WA0048.jpg
    950.9 KB · Views: 1
  • IMG-20250314-WA0046.jpg
    IMG-20250314-WA0046.jpg
    949.4 KB · Views: 1
  • IMG-20250314-WA0038.jpg
    IMG-20250314-WA0038.jpg
    900.6 KB · Views: 1
  • IMG-20250314-WA0036.jpg
    IMG-20250314-WA0036.jpg
    801.3 KB · Views: 1
Tatizo ni sera za nchi kubadilika vipaumbele kila awamu, ni risk kuinvest Tz
 
Diaspora Leteni Fursa Tanzania,Serikali itawaunga Mkono” - Balozi Kombo

Watanzania Waishio Ughaibuni wamehimizwa kuchangamkia fursa zilizoko katika maeneo yao na Serikali itawaunga mkono pale inapohitajika.

Hayo yamesemwa kwa njia ya Mtandao na Balozi Mahmoud Thabit Kombo,(Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki alipofungua Mafunzo ya Ujasiriamali na Uendeshaji wa Biashara ya Kimataifa kwa Watanzania waishio nchini Comoro yaliyoanza leo nchini humo.

Balozi Kombo aliwaeleza Watanzania hao kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan iko karibu zaidi na Diaspora kuliko Awamu yeyote iliyopita ambapo Sera ya Mambo ya Nje inawatambua rasmi na hivi karibuni utaratibu wa Hadhi Maalum utafikua tamati kwa faida yao.
Hii ni habari njema sana, kuwafunza Diaspora wetu, ila kiukweli diaspora wetu... Diaspora Wetu Wanafanya Nini cha Kuonekanika Huko Ughaibuni?. Diaspora Mliofanikiwa, Onekanikeni Kupitia TAK na Rudisheni Tanzania Japo Kidogo! pia niliwauliza Diaspora wa Kenya wafanya makubwa Marekani. Sisi Diaspora Wetu wanafanya nini cha kuonekana huko walipo?

P
 
Diaspora Leteni Fursa Tanzania,Serikali itawaunga Mkono” - Balozi Kombo

Watanzania Waishio Ughaibuni wamehimizwa kuchangamkia fursa zilizoko katika maeneo yao na Serikali itawaunga mkono pale inapohitajika.

Hayo yamesemwa kwa njia ya Mtandao na Balozi Mahmoud Thabit Kombo,(Mb), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki alipofungua Mafunzo ya Ujasiriamali na Uendeshaji wa Biashara ya Kimataifa kwa Watanzania waishio nchini Comoro yaliyoanza leo nchini humo.

Balozi Kombo aliwaeleza Watanzania hao kuwa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan iko karibu zaidi na Diaspora kuliko Awamu yeyote iliyopita ambapo Sera ya Mambo ya Nje inawatambua rasmi na hivi karibuni utaratibu wa Hadhi Maalum utafikua tamati kwa faida yao.

Awali Balozi wa Tanzania nchini Comoro alimueleza Mheshimiwa Waziri Balozi Kombo kuwa biashara ya Comoro na Tanzania hivi sasa iko takriban shilingi bilioni 148 kwa mwaka ambayo ni takriban shilingi milioni 405 kwa siku na imekuwa ikiongezeka. Hata hivyo mchango halisi wa ushirikiano wa Tanzania na Comoro ni takriban shilingi bilioni 500 kwa mwaka ukichanganya sekta zote ikiwemo Huduma.

Mafunzo hayo yanaendeshwa na Chuo cha Uhasibu Arusha ambapo wakufunzi watatu wapo nchini Comoro ambapo Mkuu wa Chuo hicho Profesa Eliamani Sedoyeka alieleza kuwa wakufunzi hao watafundisha Utengenezaji wa Mpango wa Biashara,Uendeshaji wa Biashara ya Kimataifa,Namna ya kukabiliana na Vihatarishi katika Biashara na Utunzaji wa Mahesabu.

Hafla hiyo ya Ufunguzi ilihudhuriwa pia na Mkuu wa Kitengo cha Diaspora Wizara ya Mambo ya Nje,Salvatory Mbilinyi.

Mafunzo hayo yatafanyika kwa siku tatu.
Uraia Pacha wamepewa ??!
😳
 
Huyo mpuuzi kabisa, serikali gani inavizia uwekezaji wa watu wengine, huko tunaita kujikomba
 
Ruhusuni uraia pacha muone Diaspora watakavyomiminika.
 
Baniani mbaya, kiatu chake dawa.

Nashangaa povu la uraia pacha halijajaa mpaka sasa 😂😂😂
Hawa jamaa hawaoni mbali, bila uraia pacha Taifa haliwezi kupata faida ya Diaspora. Wengi wenye uwezo wa kuwekeza Tanzania tayari wanauraia wa huku wanapoishi, hawapo tayari kuwekeza Tanzania wakiwa na stutas ya Foreigner.
 
Haya ndo maneno niliyokuja hapa kuyasikia.
 
tatizo mnawaleza uzezetana uccm wasiwe na akili.Hivi mtu aliyopo ughaibuni uje kumwambia ukija tanzania unakwenda VETA kama waziri mkuu alivyo sema unazani atakuonaje
 
Back
Top Bottom