Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Mwaka huu 2026 lazima tuhakikishe Samia na Wasaidizi wake wote waliohusika katika kuuwa maelfu ya Watanganyika wanapata wanachostahili iwe kutoka ICC au katika Mahakama yeyote ulimwenguni.
Pia lazima tuhakikishe Rais Donald Trump anahusika vilivyo katika kuwashughulikia hawa wahuni wote.
Ninajua Mahakama za Marekani zinaweza kutoa Arrest Warrant kwa mtu yeyote hata ambaye sio Mmarekani kwa makosa mbalimbali ikiwemo makosa dhidi ya Binadamu. Samia kateka, kapoteza, kaua na kuamuru kulawitiwa Watanganyika kwa miaka 5 sasa. Haya ni makosa dhidi ya Binadamu na ubinadamu. Mwaka jana wakati ya uchaguzi kauz zaidi ya Watangayika 10000.
Ninajua pia Mahakama za Marekani zinaweza toa amri kwa vyombo ya usimamizi wa sheria vya Marekani kuhakikisha vinamkamata mtu yeyote awe mmarekani au sio mmarekani as long as amefanya makosa dhidi ya Wamarekani au dhidi ya maslahi ya Wamarekani. Samia kateka mmarekani Thadei Kweka na kuhatarisha usalama wa wamarekani nchini Tanzania kipindi cha uchaguzi.
Naomba ili tufanikishe kumuhusisha Trump moja kwa moja kuwashughulikia hawa Samia na genge lake waliofanya ukatili dhidi ya Watanganyika naomba muanze taratibu za kufungua kesi kwenye Mahakama yeyote hapo nchini Marekani na kuhakikisha inatoa Arrest Warrant dhidi ya Samia, IGP Wambura, DGIS Mombo, CDF Mkunda, CP Awadh, SACP Mafwele, SACP Muliro, Abdul Ameir na Mohamed Mchengerwa.
Tuanzeni na hawa kwanza. Tunaomba mlichukulie hili kwa u serious na ingieni mzigoni. Tukipata Arrest Warrant ya Mahakama ya Marekani, Trump atapata mamlaka na nguvu ya kuwashugulikia hawa watu moja kwa moja.
Cc. Liberatus Mwang'ombe @Tausilikokola